Hakika porojo hii sasa ndio ina trend, naomba kuuliza kama yanga ina majini, ambayo ndio inawasaidia kufunga magoli, ingekuwa inafungwa kweli? Hivi Ihefu iliwafungaje Yanga? Hivi yanga ingekuwa...
"I have watched AFCON more than European football. They are simply teaching us to be honest. In AFCON VAR is used exactly the way it should be used. They do not use it to help the money magnet...
Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na...
Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?
Au...
All my NFL heads [not that many in here], it’s about that time.
It’s going down this Sunday, Las Vegas, Nevada baby.
So who y’all got? Bang bang Niner gang or the Chiefs?
Drop your comments...
Kuna mishabiki ndani ya Simba, wao kila siku Saido akipangwa wanalalamika kuwa Saido mbinafsi, Saido mchoyo, anaikaba timu, cjui mganga wake kiboko, maneno mengi.
Leo Saido kawekwa benchi na gemu...
Ft Simba(mwenyeji) 1 Azam(Mgeni) 1.
Ndio matokeo ya mwisho pale dimba la CCM Kirumba Mwanza.Hatimaye baada ya danadana za muda mrefu leo kiporo kimeliwa pale Mwanza huku kukiwa hakuna wa...
1. SIFA ZA WASHIRIKI
1. Mshiriki awe raia wa Tanzania.
2. Mshiriki awe ameshawahi kucheza ligi tofauti tofauti kubwa zilizowahi kuchezwa miaka ya hivi karibuni (2020-2022)
3. Awe amepitishwa...
Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii!
Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi!
Ukiona...
Haya mambo hayafanyiki kwa bahati mbaya, Yanga ataendelea kuwa bingwa miaka 10 mfululizo, nyie endeleeni kulalamika lkn mikakati na mipango ndio hiyo.
Sasa hivi hakuna jinsi, akili bandia ije tu...
Lapex Properties imetangaza kuwazawadia viwanja mshindi wa kiume na wa kike wa mbio za kilometa 42 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024.
Zawadi hizi zinatolewa kwa...
Ligi Kuu ya England “Premier League” msimu wa 2023/24 inaendelea, ilianza Agosti 11, 2023 na inatarajiwa kufika tamati Mei 19, 2024.
Mechi ambayo hadi sasa ilishuhudiwa na mashabiki wengi...
Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi.
Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo...
Naomba kuuliza, jeTanzania, Kenya na Uganda zote hazitacheza mechi za kufuzu AFCON ya mwaka 2027?
Nauliza hivyo ili kupata uelewa tu wa mambo kwa sababu sikufuatilia kwa kina baada ya taarifa kutoka.
Habari za wakati wanamichezo wenzangu?
Nikiwa kama mkereketwa wa soka mwenye makazi ya muda ndani ya mkoa wa kigoma. Ninaliomba shirikisho la mpira wa miguu ( FF) liangalie muda wa kuanza kwa...
Binafsi nimekuwa nikimfahamu Mzee Bayi toka nikiwa mdogo ila sikuweza kujua kiundani kwamba kwanini hadi leo dunia inamheshimu mno kwenye riadha wakati wapo wanariadha wengi wa enzi zake...
Klabu ya Arsenal imeibugiza West Ham kwa mabao 6-0 katika mchezo wa ligi kuu england maarufu kama EPL.
Mpaka mapumziko Arsenal ilikuwa mbele kwa mabao manne kwa nunge, huku mabao hayo yakifungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.