Majira ya Saa 5:00 Usiku kutapigwa mchezo wa Fainali ya AFCON 2024 ambapo Nigeria atawavaa wenyeji Ivory Coast.
Ni mchezo unaovuta hisia za wengi hasa kutokana na viwango vya timu zote mbili...
Naangalia hapa mchezo wa Dodoma jiji FC vs Mashujaa huu muonekano wa picha zao ni tatizo sana.
Hata game nyingi za mikoani wameshindwa kabisa kuwa na coverage nzuri.
Wao kama wadhamini sio...
Nikiwa kama mwanachama halali wa yanga na shabiki mwenye mapenzi ya kweli na timu yangu, naomba niseme wazi bila kupepesa macho kwamba mchezaji wetu bakari nondo mwamnyeto ameshuka sana kiwango...
Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga.
Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi...
Ni mchezaji asiyetumia akili uwanjani haangalii hatari inayokuja nyuma, hakawii kukata tamaaa,ni mchezaji anaefanya makosa kuliko mwingine yoyote,tena makosa yasiyo na kichwa wala mguu
Salam wanaspoti.
Jana ilitakiwa iwe fainali ya AFCON 2024 na leo ilikuwa ni sherehe tu ya kushangilia kombe lakini sasa kutokana na kuhangaika na nafasi ya tatu fainali inabidi ichezwe leo.
Timu...
Nauliza watangazaji wa Azamtv kwenye Ligi kuu ya Tanzania Bara , ina maana wachezaji nje ya Simba na Yanga awawezi kupambwa kwa wanachokifanya wakiwa wanashambulia hizo timu mbili kama wao wakiwa...
Ni Mpumbavu tu pekee Tanzania nzima ndiyo mpaka leo hajui kuwa Mkoa wa Mwanza 80% ni Ngome Kuu na Tukuka ya Wananchi na hatujawahi kuwa na rekodi nzuri na ya uhakika tukicheza CCM Kirumba tokea...
Nyie mlioandamana pale kirumba kumzonga Kayoko kwa madai ya kutoamua vyema mchezo hivi mnaelewa hata maana ya Offside kweli nyie wapiga kelele wa kwa Mparange hamkuona kibu alivyokuwa Offside...
Asec wameshafuzu hatua ya robo final wameomba mechi yao vs Simba ipigwe kwa mkapa, kwanza wanaamini watapata mapato kwa sababu Simba nao wanategemea gemu hiyo kufuzu, ewe mola naomba maombi yao...
Leo mtoto mpendwa wa TFF alikuwa anacheza kiporo chake alichosogezewa mara kwa mara na baba yao mlezi TFF, Simba walikuwa na mazingira mazuri zaidi ya kushinda kuliko Azam. Na sababu kuu ya Simba...
Bado Kuna Changamoto kubwa sana katika kikosi Cha Simba sc.
Kinachoendelea ndani ya kikosi ni uhuni wa wazi wazi, wachezaji wapya waliokuja hawana tofauti na wale waliotolewa(achwa) ndani ya...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Imani Madega amefariki dunia leo nyumbani kwake Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Madega anatarajiwa kuzikwa kesho Chalinze nyumbani kwake. Kiongozi huyo atakumbukwa...
Katika Kampuni yangu ya usafirishaji nilikuwa na Mfanyakazi muhimu lakini shabiki wa Yanga. Kazini alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri sana. Tatizo lilianza pale nilipoanza kujua kuwa...
Imani Maugila Madega, “mate” wangu Chuo Kikuu, wakati huo akisoma Sheria na Mimi Biashara lakini mapenzi ya mpira wa miguu hasa Simba na Yanga yakatuweka karibu.
Tulikuwa tunakacha vipindi...
Timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana wameshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga DR Congo kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya droo 0-0 ndani ya dakika 90.
Golikipa Ronwen...
Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.
Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.