Yani ujue Hizi Team hususani SIMBA Na YANGA zimejitengenezea Ufalme wa kujipa tu ambao umewatia Ujinga.
Mashabiki zao wamekua Wajinga.
Wachambuzi wamekua Wajinga.
Hata Watangazaji wa Michezo...
Kama uliuangalia huu mpira kwa makini unaweza ukakubaliana na mimi kwa hakika kuwa Hizi ndio timu zinazowania nafasi ya pili, Yanga amewaacha mbali both azam na simba kiuchezaji, kwa kifupi gemu...
Natoa kama Rai mashabiki wa Yanga hamna budi kuomba sana kwa ajili ya timu yenu maadui ni wengi mnoo mje na ndani ya uwanja na wanafanya kazi kwa kushirikiana kuhakikisha malengo yenu hayatimii...
Hivi ligi ya Ujerumani wataacha lini kutokuwa wastaarabu,mechi ya Borrusia Dortmund dhidi ya Freiburg imesimama kwa muda kisa vurugu za mashabiki kurusha vitu kwenye pitch.
Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko...
Kumekucha tena ni siku nyingine nzuri, wengi wanapenda kutumia hii kauli Soka letu tunalifahamu wenyewe au soka letu kivyetu vyetu.
Nimetizama mechi kadhaa za Yanga nakugundua pindi Yanga...
Lawama za mashabiki wa Simba dhidi ya Kayoko zimenifikirisha sana. Wamelalamika na kupiga kelele wakisahau kuwa wao ndio wanufaika wakubwa wa makosa ya waamuzi kwa msimu huu. Mashabiki wengi wa...
Tangu aichukue Simba kutoka mikononi mwa Tinhowanaman Benchika amepata draw nyingi sana ndani ya mda mfupi draw hizi amezipata kwa team ndogo na za kawaida kabisa kama Namungo,Jwanengy,Azam na...
Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai.
Kila kitu anajua na anataka afanye yeye!
Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi...
Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu!
Simba ndiyo timu iliyochukua point...
Hawa wanamsimbazi hawaishiwi matatizo.....[emoji1][emoji1]
Walianza na slogan ya hatumtaki Robertinho baada ya kufanya vibaya then akatumbuliwa.
Wakaja na slogan ya hatumtaki Mangungu [emoji23]...
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.
Kile...
Maisha yetu binadamu yamezungukwa na mambo mengi sana. Kuna wakati kwenye maisha ukweli na uongo huamua kujitenga ili maisha halisi yajidhihilishe.
Ni kawaida ya wanadamu wote hasa waafrika...
Klabu ya Yanga SC, leo hii imeingia mkataba na Hospital ya Aga Khan, ambapo itawafanya wachezaji wa Yanga kupima afya zao, lakini pia wanachama na mashabiki wa Yanga SC kuweza kupata huduma nchi...
Kwaza niombe samahani Kwa kutowaletea uchambuzi humu jf ....mwaka huu jobless sina so nina kosa muda
Back to the topic
Kama Azam angeshinda.....basi angeongeza pressure Kwa Yanga since gap la...
Kiukweli Nikiripoti kutoka hapa Jamii Forum,Jukwaa la Sports(Michezo) hali ilivyo ndugu Msomaji ni ya utulivu wa hali ya juu hali ipo shwari kabisa..
Hakuna mtu alieanzisha UZI wa TWE! TWE! TWE...
Kwa mufuatilia match mbili za simba ya tabora na hii ya leo ccm kirumba ni dhahiri kabisa.
Chama ndio Simba yenyewe maana kubadilika kwa hama ndio kumefanya timu zima imebadilika sasa.
Simba...
Phil Chisnall anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama mchezaji wa mwisho kuhama direct toka Man Utd kwenda Liverpool baada ya hapo haijawahi kutokea tena. Alifanya uhamisho huo mwaka 1964...
Habari za mchana wana JF,
Nimekuwa shabiki huru katika soka la bongo kwa muda mrefu, sasa rasmi kwa akili zangu timamu nimeamua niwape sapoti na kuishabikia Azam Fc kemwa moyo mmoja, iwe shida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.