WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI...
Wajuvi naomba mnijuze maana wote tunajua hizi timu kubwa huwa wanakula mwewe kwenye kila safari
Je, simba kutoka Kigoma kwenda Tabora walitumia usafiri gani?
Na kutoka Tabora kwenda Mwanza...
Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké
Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri
Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea
Nigeria ilianza kwa kupata...
Mzuka wanajamvi.
Nigeria is a divided nation. Yani hawa wa Igbo wanashabikia Bafanabafana dhidi ya timu yao ya taifa super Eagle.
Na wameshangilia kwa jazba south Africa waliposawazisha.
Mechi...
"Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa...
Taarifa kutoka SkySports imethibitisha
=======
Terry Venables was the man at the helm for England's unforgettable run at Euro 96; Former QPR, Tottenham and Barcelona manager died aged 80; Gary...
Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena.
Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
Match Day.
Leo Simba anatupa karata yake kwenye mchezo wa 12 wakiwa na Points 26. Nafasi ya 3. Anayeongoza Ligi ana points 34.
Mpaka sasa Simba amepoteza Mchezo 1 Draw 2 na Ameshinda 8...
Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata?
Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini...
Kwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa...
Ushindi kwa Simba SC leo nauona ni wa 20% tu (japo Wakishinda nitashukuru kwani Mechi hii ya leo ni Ngumu hasa kwa nje ya Uwanja), 25% ni Kufungwa na 55% naona ni Sare / Suluhu kwa Simba SC.
Huyo...
Jamaa maneno meeeengi hata hayahusiani na game yenyewe. Akimtaja mchezaji ataanza kumchambua weeee hadi club alizopita, badala ya kutangaza mpira unaochezwa uwanjani yeye ni ujuaji na story tu...
Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa?
Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana...
⚽️ Young Africans SC Vs Dodoma Jiji
05.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku.
Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya 9
Yanga SC wanapata Kona ya kwanza
Dakika ya 15
Bado ni 0-0
Dakika ya 20...
Mechi ya Morocco tulianza kushanga shangaa tu hatujielewi kama tuko Afcon, baada ya kupigwa Goli moja tukaamka na kutandaza boli kama Brazil tukawabana Morocco REFA akatukandamiza kama kawaida yao...
Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup...
Kwa Mujibu wa Current Fifa ranking, timu kumi Bora Africa ni pamoja na Mali na Burkina Faso. LIGI kuu ya Tanzania Ina wachezaji Diarra na Aziz Ki Kwenye timu za Taifa hizo zilizo Kwenye kumi Bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.