Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo. Ameandika Manara kwenye ukurasa...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Mapopo wananyanyua ndoo AFCON. Majamaa yana dhiki ya mafanikio
1 Reactions
15 Replies
833 Views
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu. Si sawa kuna msaada kutoka 👆...
20 Reactions
140 Replies
7K Views
Ama kwà hakika hayawi hayawi yamekuwa,jana majira ya Mchana nguli la soka la Moira wa Miguu mwamba wa Lusaka mara baada ya kumaliza mapumziko yake kutokana na kuiwakilisha Nchi yake katika...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ameitakia kila la heri Timu ya Olimpiki Maalumu itakayoshiriki Mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum (Special...
2 Reactions
1 Replies
909 Views
Ulingo huu hapa Mao Tse Tung, yeas miaka mingi ya bila boxing tangu izuiwe na Abeid Karume, leo kwa mara ya kwanza tunaenda kushuhudia masumbwi. Ibra class Mawe na Mandonga, watakuwepo. Fuatana na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Msanii wa mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa kwenye birthday party ya Manara jana usiku, alitumia sehemu kubwa ya salam zake kuongelea sakata la Manara kufungiwa na TFF kujishirikisha...
7 Reactions
88 Replies
4K Views
Upuuzi mtupu mechi ya Kagera na Yanga Sc Kuna goli limefungwa la hakuna offside kabisa lakini Refa wa penbeni kainua bendera na kusema offside. Maoni Yangu : kwa mfumo huu wa marefa mpira wetu...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu. Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi Nawasilisha
1 Reactions
16 Replies
717 Views
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Messi kaingia dakika ya 83 wakati Ronaldo yupo jukwaani akiikosa mechi kwasababu ya majeraha. Je hii inathibitisha kauli ya Ronaldo aliyoitoa siku za hivi karibuni kuhusu ubora wa ligi yao? Na...
10 Reactions
82 Replies
3K Views
Nimeona jinsi timu za Morocco, Egypt na leo Guinea walivyolia kwa kutoingia quarter final au semi final. Yaani wanaumia. Ila wachezaji wetu sikuwahi kuwaona wakisikitika kwa kutofanya vizuri
2 Reactions
18 Replies
803 Views
Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu. GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika...
3 Reactions
4 Replies
824 Views
Nimemfuatilia kwenye hii michuano ya Afcon. Hakika jamaa ni bonge la beki. Sema aliyemshauri kuja Simba kamuharibia sana.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Baraza la Michezo la Cecafa Kupitia Rais wake Wallace Karia amesema Nchi za Afrika Mashariki zitakuwa mwenyeji wa mashindano ya Mpira wa Miguu Kwa Wachezaji wa Ndani ya Bara la Afrika yaani CHAN...
0 Reactions
11 Replies
635 Views
Hii timu wanaongoza kwa kulalamikia marefa na TFF,na hata kule Zanzibar kuna wajinga walikuwa wanalalamikia TFF wasijue kule kuna ZFF. Siyo hapa tu,huko CAF wamekuwa wanaongoza kwa kulalamikia...
3 Reactions
12 Replies
858 Views
Mshambuliaji nyota wa klabu ya Asec Mimosa ya Cote D'Ivoire Sankara Karamoko, ameamua kwenda kucheza mpira wa kulipwa nchini Austria na kuachana na timu ya Young Africans ya Tanzania. ====...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu. Nyerere shikamoo popote ulipo Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Ukweli usemwe Kwa trend ya hizi timu mbili, simba wanazidi kuimarika kikosi wakati huo Yanga wanapungua ubora kila siku, Yanga iliyoanza msimu na Yanga hii ni pua na makalio.
1 Reactions
9 Replies
611 Views
Back
Top Bottom