Timu yake ya MAMELOD SUNDOWNS inawachezaji wazawa wengi na ndio timu inayofanya vizuri kwa sasa afrika, timu ya taifa ya RSA ni mamelody hiyo hiyo kilichofanyika ni kuwavua jezi na kuwavalisha...
Reasons
1. Players chemistry yanga wana players chemistry nzuri sana . One the best in Tanzania 🇹🇿 .
2 : GAMONDI BALL mpira upo chini. Awabutui . Wa nafanya build up vizuri . Creativity . The...
Kwa muda mrefu timu ya Simba imekuwa inavutana na mchezaji wake clatous Chama lakini imeshindwa kumfukuza kutokana na jinsi media zimekuwa zikivumisha kuwa mchezaji huyo anahitajiwa na klabu ya...
Kwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao...
Zaidi ya vilabu 1000 vya soka duniani vilitumia dola bilioni 9.63 katika uhamisho wa mwaka jana na kusajili ongezeko la 48.1% la takwimu kutoka 2022.
Wachezaji wa kitaalamu walichangia 31% ya...
Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa.
Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel...
Kwa mtazamo wangu simba sc ili ifanikiwe kimpira barani africa inatakiwa isajili washambuliaji kutoka inchi hizi barani africa na wachukuwe anaecheza kikisi cha taifa.
Morocco [emoji1173]
Mali...
Ukweli usemwee juu ya mTanzania mwenzetu na mwanamichezo wa mchezo ngumi nchini ndugu Twaha kiduku kuhusu uwezo wake mdogo katika mchezo wa ndondi, naheshimu kipaji chake na kazi yake ya ngumi...
Mzuka wanajamvi.
Hawa wazungu hasa wana habari wanawamaliza sana jamii ya kiafrika hasa kwenye michezo.
Wasipokuundia mizengwe ya ubakaji basi watasubiri tu utende kosa flani na kukuathiri...
1. Ryan giggs - 162
2. Cesc fabregas - 111
3. Kevin De bruyne - 104
4. Wayne Rooney - 103
5. Frank Lampard - 102
6. Dennis Berg Kamp - 94
7. David Silva - 93
8. Steven Gerrard - 92
9. James Milner...
Nje ya Mada ( na wala haihusiani kabiaa na Bondia wa Mchongo tajwa hapa ) hivi ni kwanini Siku hizi Watu wakikukuta / wakikufumania na Wake zao na wakijua tu kuwa Wewe ni Mtu maarufu duniani...
Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa...
Bingwa wa mashindano ya AFCON 2023 anachukua zawadi nono ambayo haijawahi kufikiwa ya dola milioni 7, sawa na shilingi bilioni 17 na milioni 500.
Kabla mashindano ya AFCON 2023 hayajaanza...
Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness.
Bado wachezaji wetu...
Nilikuwa ninaangalia Mahojiano ya Kocha wa Azam bwana Youssoph Dabo kupitia Azam FC TV, kuna mengi kwenye interview ile kuhusu Mpira wetu; mfano kuna swali aliulizwa juu ya wachezaji wa Tanzania...
Daaah nimeitazama Simba yangu Jana nimesikitika sana siku mzima Kwa wachezaji wapya na uchezaji wao
Kwa kweli hawa wachezaji tumepigwa. Wachezaji hawa ni wabovu hawawezi kutoboa Kwa mechi za...
KATUNI KUTOKA MWANASPOTI.
KATI YA SIMBA NA CHAMA
HAPA UMEELEWAJE?
Maelezo ya picha Kwa ambao picha hazifunguki
Picha ya katuni inaonyesha simba mdogo amefungwa kamba shingoni kama mbwa
Kamba...
Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geography wako zero.
Timu inayocheza Leo na...
Wasalam wanajukwaaa.
Nipo naangalia hii Match ya Simba na Tembo ya FA Aisee inakera badooo sana, Yani zile beki zinachokifanya ndio kile tumetoka kukiona kwenye Team ya Taifa. Japo sio wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.