Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mchezaji bora wa mechi huko South Africa akiwa na hundi ya Rand 100,000/=. Ni sawa no hela ngapi ya madafu?
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Nashukuru kuwa leo tena kipigo. Watu waelewe mpira si uhamasishaji. Ni uwekezaji serious. Team ilipaswa ikae kambini ijiandae. Ilipaswa iendeshwa na wataalamu siyo wanasiasa. Sasa na michezaji...
3 Reactions
10 Replies
725 Views
1: Ronaldo de Lima in late 90s 2: Beckham in early 2000s 3: Ronaldo Cristiano in late 2000s
7 Reactions
109 Replies
4K Views
"Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari jf ,mfano hii ni Ratiba ya viporo ya Simba Sc ,Yanga nao ratiba tight .Kuna haja TFF ratiba zao kuzi review vizuri . Na hii hapa ni fixture ya Yanga. Tarehe 2/2 Kagera vs Yanga Tarehe...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Mchezo wa mpira wa miguu ni jambo kubwa sana na wenye kujua limewapandisha kiuchumi, kiwatambulisha duniani na hata kuleta amani kwenye vita. Tumeona wote jinsi taifa la Ivory Coast lilivyoandaa...
7 Reactions
28 Replies
921 Views
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC. Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea...
16 Reactions
118 Replies
8K Views
KWAKO CEO WA SIMBA IMAN KAJULA, Serikali kupitia Wizara ilitangaza kuvifungia viwanja vyake viwili kupisha matengenezo mnamo DESEMBA 22, 2023 na mpaka sasa yapata mwezi na siku kadhaa, ila hadi...
1 Reactions
20 Replies
908 Views
"Hongera Taifa Stars, mmeonyesha ukuaji na uvumilivu. Ghana katoka, Algeria katoka. Sisi ni nani?" - Zitto Kabwe #PlusXtraUpdates Je sisi ni nani tupinge?? Sent from my TECNO KG5j using...
2 Reactions
81 Replies
3K Views
Kwenye AFCON ni mchezaji gani aliyetoka kwenye ligi ya Tanzania aliyeonesha uchezaji wa kupigiwa mfano hata kukumbukwa na mataifa mengine? Au baada ya mashindano haya ni mchezaji gani unadhani...
0 Reactions
7 Replies
639 Views
Itakumbukwa kuwa Mwaka 2023 Mwezi wa 9, Mshambuliaji wa The Al-Hilal ya Saudi Arabia, Neymar JR alipata majeraha kwenye Goti ambayo yanamfanya kukaa nje ya Uwanja kwa Muda wa Miezi 6-12 Majeraha...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hello heshima kwenu ndugu zangu! Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo. Mchezo wa kwanza...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
SIMBA WASIKUBALIWE KUTUMIA UWANJA WA AMAAN Bodi ya Ligi isiruhusu hili Zanzibar Wana ligi yao na wanautumia huo uwanja kwenye michezo ya ligi kuu ya Zanzibar Bado hakuna muungano kwenye michezo...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Wenyewe mnajifanya Wasiri halafu GENTAMYCINE nikiwa nawaumbua hapa kwa kilichoendelea mnaninunia. Hivi kweli inaingia Akilini Fedha za Wanakamati na Watu wa Hamasa wa Taifa Stars mlikuwa nazo ila...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Chini ya kapeti, Uongozi wamepeleka ombi hilo kuwa wanahitaji kutumia uwanja huo kwa mechi zake za nyumbani baada ya ule wa UHURU kufungiwa.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwenye maisha ya soka ukiachilia mbali mabao na vyengaa ila burudani nyingne ni kushudia utukutu na ubabe wa wachezaji Sergio Ramos master Red card, kati ya tukio ambalo nalikumbuka kutoka kwake...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni ajabu sana na inasikitisha sana kwa timu inayojiita inao viongozi na viongozi hao hao wanashindwa kujua kanuni walizoshirikishwa kuzitengeneza juu ya viwanja vya kuchezea ligi kuu na FA...
4 Reactions
13 Replies
692 Views
Hivi wadau, mnajua Tanzania ilikwenda AFCON kwa mara ya kwanza mwaka 1980 wakati huo timu zinazofuzu huko ni 8 tu? Yaani kwa lugha nyingine, tungekaza sasa hivi tungekuwa moja ya magwiji wa...
0 Reactions
6 Replies
454 Views
Simon Patrick (Mwanasheria wa klabu ya Yanga SC) Hongereni sana @taifastars_ , binafsi siwadai, matokeo haya ndio kipimo chetu cha uwekezaji wetu kwenye soka. Kwa maslahi mapana ya Taifa...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom