Ina maana hamjaona alichokifanya Aishi Manula kwenye Michuano ya AFCON??
Kwani goli tano alizofungwa na Mtani ni Mara ya kwanza kuookea kichapo Kama hicho??
NALIA NGWENA nikiulizwa ni wachezaji...
Saudi inashika nafasi ya 33 ya ubora wa ligi huku MLS ikishika nafasi ya 63.
Kwa kifupi Mshindani wa MLS ni Ligi ya Bongo mana wamepishana na kwa nafasi moja tu.
IFFHS
Kocha Mkuu Taifa Stars
Juma Mgunda
Kocha Msaidizi Taifa Stars
Hemed Morocco
Makocha wa Makipa
Juma Kaseja
Ivo Mapunda
Makocha wa Mabeki
Nadir Haroub 'Cannavaro'
Victor Costa 'Nyumba'...
Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS).
“Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya...
Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya...
Sio vibaya kukumbushana...!!!
Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele...
Pamoja na mapesa yanayomwaga na ligi ya saudi arabia "saud professional leugue lkn bado ligi hiyo haijawa darling league km zilivyo ligi za uropa
Utakubaliana na mimi angalia ligi ya uscoch...
Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023.
tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi...
Haya ni mawazo ya kimasikini na uswahili uswahili tunaodanganyana vijiweni.
Hizi ndio sababu kuu mbili za aibu yetu:
■Kwanza, tuangalie utamaduni wetu wa kuweka uswahili uswahili katika kila...
Wakuu za asubuhi..
Nikiwa na uchovu wa kulala na mawazo makuu hasa ya kupoteza kiasi kikubwa cha fedha zangu na hata muda kupitia hii michezo ya kamari.. Nimeona niweke wazi kuwa hii michezo sio...
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi...
ASIYE NA DHAMBI AWE WA KWANZA KURUSHA JIWE
Mwaka 2004, beki wa kushoto wa Simba, Ramazan Ramazan, raia wa Burundi, aliomba klabu yake imuache huru kwa sababu amepata timu Ubelgiji.
Simba kiroho...
Natoa pongezi nyingi kwa timu yetu ya Taifa kwa kazi kubwa waliyofanya. Natoa pongezi kwa wale wote waliofika Ivory Cost kuwapa joto. Natoa pongezi kwa kila mmoja wetu ambaye ni mzalendo...
Mchezaji wa Zamani wa Manchester City amekuja hadharani na kusema maisha ya Saudi Arabia yamekuwa ndoto za alianacha kwa wachezaji waliotoka ulaya
"Tunawasiliana na wachezaji wengi hapa miongoni...
"Tumeweka historia kwa mara ya kwanza Tanzania (Taifa Stars) kutolewa AFCON na kupata alama mbili kwani huko nyuma haikuwa hivyo," amesema Chawa Mwandamizi wa Mama aitwae Mwijaku.
Chanzo: Leo...
Najua hatuna imani na Taifa stars Wachezaji mmoja mmoja lakini leo tutawashinda Congo kwa 1:0 na tutasonga mbele.
Zambia atafungwa na Morroco 2:1
Asanteni
.....................
MREJESHO
Stars...
Leo kila Mtanzania anafaraja kwamba baada ya kujitafuta sana leo tumejipata. Siyo kwamba hatuna team ila team inayopelekwa mbele inakosewa.
Kikosi cha leo kuna watu waliwaambia kuna 1.2 bilioni...
Na tayari nimeshaanza Kuusikia huu Wimbo ukianza Kuimbwa na Watangazaji kadhaa wa Redio Asubuhi hii na najua kwa sasa baada ya Bahasha za Pesa za Makusanyo za Saidia Taifa Stars kupenyezwa kwa...
Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON.
Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.