Leo Jumatano 24.01.2024.
Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki...
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Chris Hughton, ametimuliwa baada ya timu hiyo kutolewa mapema kwenye mashindano ya kugombea ubingwa wa kandanda barani Afrika (AFCON) yanayoendelea nchini Ivory...
Jana tajiri mudi amepost akiisifia kolo FC Baada ya ushindi wa kishindo
Swali ni Je, Kwanini TIMU IKISHINDA ANAONEKANA IKIPIGWA MZIGO UNAKUWA WA MANGUNGU [emoji119]
Game ya Tanzania na Zambia na game ya leo ni Ishara tosha kwamba yule kocha mgeni alikuwa ahujumu timu yetu. Angalia first 11 ya leo inavyopiga mpira wa kisasa, akina Fei Toto walikuwa wanafanya...
Nimekuwa nikishuhudia upotoshaji wa watangazaji na waandishi wa habari za michezo pale timu zilizoshika nafasi za chini lakini zikiwa ni chache tu zinahitajika kusonga mbele ili kuzibia mapengo...
Tuwaombeetu lakini mwenyeji sijui anapigaje
========
WENYEJI WA AFCON, IVORY COAST WAMEKUBALI KUPIGWA NA WAMEPIGIKA
Wenyeji wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa 2023 (AFCON), Timu ya...
Nimefatilia vizuri mashindano ya AFCON yanayoendelea kule Ivory cost, nikagundua kama huna wachezaji ambao wako fiti kwa maana ya nguvu, utimamu wa mwili,wenye maumbo makubwa na waonajituma ni...
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi...
Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno.
Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
Ni saa moja sasa na dakika zake......zimesalia kuelekea mchezo
Muhimu kwa timu yetu ya taifa..dhidi ya congo!!!!
Tutarajie nini kutoka kwa stars???
Yapi maoni yako juu ya mchezo wa leo??
Upi...
Clautous Chama alipoingia tu, akatoa assist Zambia wakachomoa licha ya kwamba Zambia walikuwa pungufu. Huyu kijana tunaishi naye vizuri bongo lakini kaamua kutukazia sisi washikaji zake Tanzania...
Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo
Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake...
[emoji3590][emoji1478] Maignan: "We can’t play football like this, we should stop. 𝐖𝐞 𝐜𝐚𝐧’𝐭 𝐚𝐜𝐜𝐞𝐩𝐭 𝐫𝐚𝐜𝐢𝐬𝐦".
“At the first goal kick I heard monkey chants, I didn’t say anything. Second goal kick…...
Kwema wakuu!
Mtanisamehe kwa wale wapenzi wa Mchezaji wa Mpira aitwaye Samatta. Lakini kiukweli tangu nimjue Samatta hasa akiwa ndani ya timu yetu ya taifa sijawahi kuona miujiza na ukubwa Wake...
Morocco wakituinamisha tunainuka, wakituinamishia uwanja tunainuka mara pipe..... Cha kwanza. Tukafuta.... Tukaanza kusumbuana tena wakiinamishia uwanja Taifa Stars... Inainuka... Mara tena...
Afcon ndio hiyo imeshika kasi pale nyumbani kwa Fundi Pacome Ivory coast mpaka sasa sio haba ila bado tunamiss lile soka haswa la kiafrika soka la mashuti mazito, soka la nguvu, soka la kutumia...
Ngao ya jamii - wanaume
Ngao yajamii - wanawake
Mashabiki bora Afrika
Ufunguzi wa kishindo AFL
ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar
[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.