Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa.
Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu...
Wapo Watu Wanainua Taifa Stars kwa sababu tu Rais Samia pamoja na CCM wanaipa hela
Ndio nawajulisha Rais Nguema wa Equetorial Guinea ametoa bonus ya Euro million 1 ( Sawa na tsh bilioni 3) kwa...
Hili ni jini lisilokabika, mkijitahidi sana baki litawapiga hata kamoja. Huwezi kulifananisha na vitu vya kijinga. Labda alinganishwe na kundi.
Ndiye mchezaji bora wa mwezi Machi
[emoji2957]Kumbe CAF wanetu kabisa Hawa yaani "We Simon Msuva umepigaje hapo [emoji16][emoji2957].
Hii ni Baada ya msuva kuruka soti ( kavu in nyakyusa) ya kwenda juu nyuzi 368°
Huyu admin wa...
Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
"Simba imeshafanya mambo mengi makubwa, yaliyopita, yanayofanyika sasa na mengine yanakuja."
"Sisi mliotupa dhamana tupo tayari kupokea maoni ambayo yataipeleka Simba mbele."
"Lengo letu ni...
Kocha mzungu hakuwa mjinga kumuacha nje Kibu Denis kwenye mchezo wa ufunguzi. Baada ya mgunda na Morocco kuachiwa jahazi Kibu Denis akapangwa kikosi Cha kwanza kabisa dhidi ya Zambia. Ona alikosa...
Bado Tanzania kama nchi imeshindwa kuheshimu Professionalism katika soka. AFCON ni sio sehemu ya siasa wala vituko. Hapo ni sehemu ambayo Wataalamu wanatakiwa kupewa nafasi kutoa mafunzo yao na...
Hilo ni ombi langu kwako mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi
Nakumbuka timu ya Taifa ya Zanzibar Captain akiwa Omar Hassan " King" ilikuwa Bora mara 100 kuliko Taifa Stars
Equetorial Guinea ina idadi...
TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa...
Uongozi wa Timu ya Taifa ya Misri umethibitisha kuwa mshambuliaji wao Mohamed Salah (31) amerejea katika klabu yake kupatiwa matibabu zaidi baada ya kuumia misuli ya paja katika mchezo dhidi ya...
inasikitisha sana huwa tunakuwa wepesi mno kumkosoa / kumkandia pale tukiona kuwa hajitoi na haipambanii timu ya taifa ( taifa stars ) ila akijitoa kwa nguvu zake zote kwa kupambana zaidi uwanjani...
Ni Messi tena....
Lionel Messi ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023
Staa wa Argentina na Klabu ya Inter Miami, Lionel Messi ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023 kwa Wanaume...
Yaani hii nchi Ina vitu vinachekesha kweli kweli!
Mwanzoni mwa mwezi huu wa January wizara ya michezo na ilitangaza kamati ya hamasa Kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kuishangilia taifa stars...
Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.
Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani
Sent using...
Huyu referee anayechezesha pambano la Congo DR na Morocco ni muungwana sana. Wachezaju wa Morocco wakiwa wanatoka anawasindikiza anawaambia wasikimbie wasije wakaanguka wakaumia.
Naona mzozo...
Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing.
Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro.
Manula ni tatizo...
Match Day
Leo Jumapili 21.01.2024.
Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya pili katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya Zambia a.k.a Chipolopolo.
Zambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.