Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo.
---
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa...
Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Bunju, ile pesa ilitumika kujenga ukuta wa Bunju na kuimarisha kambi ya timu” Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu
Mafanikio mengi...
wewe bung'aa bung'aa tu na ukomedi wako wa kila ukihojiwa wakati mwenzako ali kamwe kuna value fulani hivi anaiongeza na credits kadhaa kuzipata kwa sasa kuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano ya...
Kundi F linazidi kunoga. Morocco watoka sare na DR Congo 1-1 na kufanya kundi F lizidi kuwa gumu.
Goli la Morocco lilifungwa na Hakimi huku goli la kufutia machozi la Congo likifungwa na...
Taarifa za hivi punde timu ya taifa ya Tanzani aningia dimban kucheza afcon
Kama mzalendo tunawatakia kila la kheri ingawa mpaka sada hali sinnzuri kitabu kinasoma tunafungwa 2-0/2-1/3-1
Wish u...
Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho...
Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji.
Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta...
Habari wana Jukwa.
Mimi naomba nijiseme kabisa Naipenda sana Team ya Taifa Ya Ghana, Ila nimekuja kushituka baada ya kugundua kua hii Team ya Taifa ina Mashabiki wengii sana kuliko Team ya Taifa...
Habari za weekend wadau na wapenzi wa soka,
Leo ngoja nitoe maoni yangu kuhusu kinachoendelea pale mitaa ya msimbazi.
Ni kawaida katika maisha na katika kazi kupitia kipindi kigumu baada ya...
Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake
Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko...
Nafatilia Afcon ya mwaka huu inayofanyika Gabon, nimegundua Michuano imepoteza mvuto, haina msisimko kama zamani, viwanja ni vitupu, hakuna vikundi vya ushangiliaji kama ngoma nk ambao ni...
ADEL AMROUCHE AMEIGHARIMU TFF USD 10,000
Shirikisho la mpira wa Miguu Barani Africa (CAF) limeipiga Faini ya USD 10,000 Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na tuhuma za Kocha...
Tukisema Magungu na Try Again ni wapigaji watu wanasema tunawaonea.
Hadi leo hakuna mchangunuo wa hela waliyochangisha mashabiki kwa ajili ya uwanja. Haieleweki uwanja umeisha na hakuna feedback...
[emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210]
◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year...
KLABU YOYOTE INAYOMHITAJI BALEKE IJE.
"Klabu yoyote inayomtaka Jean Baleke ikubali kununua kandarasi yake ya mwisho ya miaka miwili (2) kwenda TP Mazembe, sisi tuko wazi kwa changamoto yoyote ile...
Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha...
Hatimaye mwamba Juma Mgunda amekabidhiwa timu ya taifa rasmi baada ya kocha Adel Amrouche kufungiwa na CAF. Juzi nilishauri kwamba kocha Adel Amrouche hatoshi atupishe ikibidi afukuzwe huko huko...
Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.