"Hakuna klabu ya ligi kuu ya Tanzania isiyokuwa na madeni hivyo watuige sisi Singida Fountain Gate FC ambao huwa hatufichi na wala hatuoni aibu kusema kuwa tuna madeni lukuki" amesema Hussein...
Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee.
Huwezi amini wiki hizi mbili...
Naona washatoa thank you kwa wachezaji bora zaidi ya 13
Nimeshangaa wamemwa striker hatari Elvis Rupia na wangine.
Ndo kusema madeni yamewaandama wakaamua kufuta team.
Nasikia mmiliki wa SFG...
Morocco National football team, ni timu ambayo nimetokea kuipenda sana, ikifuatiwa na Algeria National football team, nawakubali sana. Hata wakikutana na Taifa Stars nitashabikia moja kati ya hizo...
Wakati nchi ya Ghana imeamua kuwekeza katika soka, serikali yao iliweka mazingira vutivu kwa wawekezaji wanaotaka kufungua academy, academy zikafunguliwa nyingi kama Makanisa ya jiji la Mbeya...
Ujio wa Kocha Benchikha pale Simba ulitakiwa uambatane na kufungua ukurasa mpya wa mashirikiano kwa kila mmoja pale Simba hasa kati ya wachezaji na viongozi achilia mbali mahusiano kati ya...
Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha
Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao
Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi
Ngozi...
Kama kuna watu wamesoma na wanajua mambo ila wanatumia elimu yao kutapeli ni wanaija.
Dozy ni mnaija anayedai kuwa ni CEO na Mwanzilishi wa Tingo Mobile. Jamaa alianzisha tingo mobile ikiwa na...
Kama Yanga wanahitaji mchezaji wa kuwapa uzoefu kuhusu mbinu za kufanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika basi ni dhahiri huu ni muda muafaka wa kumpa nafasi mwamba John Rafael Bocco...
Hii ni aibu kwa kipa nambari moja Tanzania kupigwa goli nyingi kiasi hiki... Kwasasa Manula hastahili kuwa kipa namba moja, aibu kwa taifa na clab.... Na akiendelea kuwa kipa namba moja pale Simba...
Wakuu habar ,tuwekane wazi kabisa na wala si kuwatupia lawama wachezaji au kocha ilihali mnajua timu yetu ni mbovu tu miaka nenda miaka rudi mpaka siku za kalenda
Hii timu ingekuwa imefuzu wala...
Shida ni viongozi wenye tamaa.
Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017.
Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala...
Msitafute mchawiiiii
1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi
Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika
Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha...
Wakuu,
Mpira ni mchezo wa wazi kabisa kila mtu anaona, hakuna mambo ya kuongopeana kabisa.
Pili, kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji hususani inside ten (10) wenye uwezo wa kucheza nafasi hiyo...
Habari,
Tukiwa tunaendelea kuugulia na kujifariji kwa yale yaliyotokea jana kwa timu yetu ya taifa (Tanzania) dhidi ya Morroco, leo nakupa wataalamu wa hat tricks tokea mashindano haya...
100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,
Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na...
Wake pole na habarini za zenu.
Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi...
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu
Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.
Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.