wakuu habari za uzima?
Nipo hapa na mwanangu tunaangalia mpira.kipindi unaanza aliona hawa watoto wanaoingia pamoja na wachezaji akaniuliza.
Baba hao watoto na wao wanacheza, nikamjibu hapana...
Kocha wa timu ya Taifa stars amesimamishwa na CAF kusimamia mechi 8 za timu yake.
Swali ni nani alikasirishwa zaidi na maneno ya kocha dhidi ya Timu ya Morocco kati ya TFF, Morocco na CAF? ni...
Mchambuzi wa michezo kutoka HiliGame na SportsXtra za CloudsFM @shaffihdauda_ ameshinda tuzo ya Mwanahabari bora wa habari za michezo barani Afrika kwa mwaka 2023 .
Utoaji huo wa tuzo ulifanyika...
Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke...
Mkiambiwa mkae mbali na mambo ya kitaalamu na msiwe na viherehere hamsikii tu.
Kisaikolojia alichokifanya jana Rais Samia kuwapigia simu wachezaji wa timu ya Taifa Stars muda mfupi kabla ya...
Goal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu.
Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba...
Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), leo Januari 19, 2024 kwa kuifunga Cameroon magoli 3-1, hivyo kufikisha pointi 6...
Tar 21 Nov 2023
Moroco vs 🇹🇿
Novatus discuss kiroshi alipata Redcar dk ya 72.
Jana dk almost zile zile anapewa card mechi vs Moroco
Sioni sana kipya tusaidie badala ya kujazana ujinga. Kocha...
Naangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana, wanadefend vizuri na wanashambulia kwa kushtukiza kupitia kwa...
Sofia Benlemmane Ambaye ni raia wa Algeria amefurushwa toka Ivory Coast (deportation) baada ya kutoa maneno ya kashfa juu ya taifa hilo na wenyeji wake wa Afcon.
Sofia alinukuliwa akisema Ivory...
1. Kocha wenu ambaye pia ni dalali ameshafanya kutompanga kabisa mchezaji Kibu Denis katika mechi za Afcon kwakuwa amekataa kuwa wakala wake na hata ikitokea akaanza kumpanga kuanzia mechi ya...
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye...
Safi sana. Kapten aendelee kumshukuru anayemdhania ndo mwenye team.
Bao 3 kwa Nunge
Mi nitakuwa nahesabu tu. Hili li timu la hovyo. Na jana Morocco walituonea huruma sababu sisi ni ndugu zao...
Binafsi huwa sitazami mechi za Simba SC ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi!
Yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa...
Zambia: Kama kuna timu ambayo tunaenda kuokota points za bure ni ya Tanzania ila kwa Morocco tutajitahidi tupate angalau sare au suluhu kisha huko mbele tutajua nani ataenda.
Congo DR: Morocco...
Nipo na haraka sana. Hebu ona. Leo ni ile tarehe 17/1/2024 kila mtanzania mpenda michezo alikuwa anasubiria ifike saa mbili kamili ili apate fursa kuitazama timu yetu pendwa, Taifa Stars akicheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.