Huyu kocha ameajiriwa kuja kufundisha soka, sio kujifunza soka! Analipwa pesa nyingi sana kwa mwezi na gharama zote za malazi pamoja na usafiri ili tu aje afundishe soka! Yeye ni mtaalamu wa...
Hii AFCON licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tusipate japo point moja lakini pia tunaweza tusifunge hata goal [emoji3]
Pia hata kama Mpira unadunda sioni nafasi ya stars kwenye hili kundi hata...
Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco.
Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu...
Jana nimefurahishwa na huyu refa, kama kuna matokeo niliyapenda ni ya jana watu waligawana point kihalali. Kikubwa zaidi kumpongeza huyu bwana na wachezaji kumhadaa refa awape penalty.
OK...
Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo.
Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao...
Sikushangaa kusikia Waziri wa michezo akisema hata wao huwa wanamuuliza kocha kwanini amemuacha Shabalala na Feitoto lakini majibu ya kocha yanawaridhisha.
Wakati wa kocha Amunike pale...
Mlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars.
Mara ampigie simu rais ni kuwavuruga wachezaji.
Yeye kama ana Nia njema aweke...
"Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco."
Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia...
Thierry Henry alimuuliza Pep Guardiola ni timu gani Bora kwake aliyotwaa nayo mataji matatu kwa msimu kati na Manchester City na Barcelona. Hichi ndio alichojibu Guardiola.
Pamoja na yote, Manula sio KIPA ila ni the most loved one , sijajua ni kwanini. Jamaa huwa haoni movement za mpira sio kama DIARA. Mmmh kweli Uchawi upo.
Hoja ya msingi, je ni wakati gani REFA...
Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi...
Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua.
Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo...
kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa...
Unafiki wetu TU kukana kauli yakocha wetu. Tungeishia TU kusema nimtizamo wake binafsi sio ya TFF. Lakini hayo ya kuhangaika nae kinidhamu tuache. Tuone mechi itaishaje, usimamizi...
Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa...
Kumekuwa na hili swali watu wengi wamekuwa wakiuliza kuhusiana na team yetu ya Taifa. Ambayo imekuwa mara nyingi ikichukiwa na baadhi ya watu.
Kwa nchi nyingine teams zao za Taifa zimekuwa chanzo...
nimeimisi mno ligi kuu yetu na hasa jinsi waamuzi wanavyopokea milungula ya timu kubwa na kwa sasa moja yenye utajiri wa mdhamini mkwepa kodi mzoefu ili waibebe katika matokeo na maamuzi
Na...
Ni moja ya sajili Bora kabisa ambayo Eng.Hersi said anastahili pongezi za dhati, ni goalkeeper ambae amekomaa vya kutosha na uzoefu wa kutosha!
Mechi yake ya kwanza dhidi ya south Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.