Naamini waaamuzi na waamuzi wasaidizi wa Tanzania mnaangalia AFCON Kwa lengo la kujifunza. Mechi mbili za Leo yaani Senegal vs Gambia na Cameroon Vs Guinea zimewapa funzo adhabu gani anapaswa...
Tafakari Binafsi
Kitendo cha kuwaacha wachezaji baada ya dirisha dogo kufungwa sio kizuri Kwa wachezaji na Kwa maendeleo ya soka letu especially wachezaji wazawa.
Mchezaji anayesajiliwa na timu...
Huwa nikisikia Shabiki kwenye Kipaza sauti anaanza kwa kusema “Tunaoumia ni sisi Mashabiki kuliko wao” basi naachana na kusikiliza naendelea na mambo mengine, kwenye huu mpira wetu wa Bongo hakuna...
Mechi ya Burkina Faso dhidi ya Mauritania iliyoamuliwa kwa kutumia teknolojia ya VAR, ni uthinbitisho tosha kuwa waamuzi wengi ni wabishi kwa kujiona wako sahihi kumnbe wanafanya makosa...
Kucheza na timu zenye uwezo mkubwa na wachezaji mahiri wanaocheza Ulaya timu zenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa kisoka Afrika na duniani inabidi uingie uwanjani kupigana jihadi kwa jasho na damu...
Hatimaye nyota wa kimatifa wa Tanzania aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria, Simon Msuva, amefunguka suala la kuhusishwa kujiunga na klabu za Simba SC na Young...
Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’.
Kocha huyo wa zamani wa...
Mechi chache zimepigwa, lakini kiukweli waliodhaniwa watatamba hali ni mbaya .
Misri tia maji tia maji huku Ghana ikiwa ulimi nje , mpaka sasa Ball Possession Ghana 30 % na wako nyuma kwa bao 1...
Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri.
Hapa...
Kuna mwaka fulani Simba ilimchoka marehemu Aggrey Siang'a baada ya kuiletea mafanikio makubwa Simba, Siang'a alikuwa anatisha, Simba ilikuwa ikitoa vipigo vya mabao 5 kila anayesogea mbele, akina...
Taarifa za ndaaaaaniiii Kabisa zinadai Kuwa CAPTAIN FANTASTIC amebakishwa kwenye timu kwajili ya kunyanyua ndoo ya CAF CHAMPIONS LEAGUE [emoji471].
Eti atapewa THANK YOU mwishoni mwa msimu baada...
Tangu mwanzo mwa msimu timu imekuwa na mwenendo wa kusuasua na kuonesha mapungufu mengi.
Nilitegemea kwenye dirisha dogo la usajili viongozi wa simba wafanye usajili wa wachezaji wenye uwezo...
Ukisikia Mwanasoka anatoa maneno ya hovyo kwa chombo cha habari basi tambua kuwa amechoka dhihaka na dharau.
Hii ni post ya Ukurasa maarufu wa michezo Duniani ukimdhihaki Messi.
Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na...
Ni aibu sana nchi yenye ligi namba 5 Kwa ubora Africa kutokuwa na Mwamuzi hata m1 huko AFCON.Hivi nyie waamuzi wetu wa Mpira wa Miguu ni lini mtatuondolea hii aibu?
Rwanda na Burundi nchi ndogo...
Uongozi wa Timu ya Simba umekoselewa na mashabiki kufuatia kupost picha iliyotengenezwa na AI.
Hii ndio Picha ya AI iliyopostiwa na Ukurasa wa SIMBA SC.
HAYA NDIO BAADHI YA MALALAMIKO YA...
Mpaka sasa tumeshuhudia sajili mbalimbali kwa baadhi ya timu za ligi kuu ya NBC na baadhi ya wachezaji kuwaona kwenye michuano ya mapinduzi wengi wao viwango vyao nivya kawaida kabisa.
Simba nao...
Wakuu,
Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.
Nafasi ya goal keeper haihitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.