Hawa mawinga wana uwezo mkubwa sana, nimepata taarifa kuwa wanatafutiwa sehemu pale Ihefu wakacheze kwa mkopo, hawa sio wachezaji wa kutoa kwa mkopo, hawa ni package kabisa, Simba chukueni hawa...
(1) Mchezo wa Simba sc vs APR hapa Kuna tukio lilinishangaza Mchezaji Onana hakuwepo hata sub, na nilimuona Jukwaani lakini mchezo ulipochezwa dakika 45 za kwanza kumalizika kwa timu bila...
Habari za kazi wadau.nimeona guinea bissau, equatorial guinea na Guinea afcon nikaona si kwa ubaya wale mlandege tungewaona pale afcon wakiiiwakilisha ardhi ya zenji.
Sasa wanafeli wapi??Kumbuka...
Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa...
Ni miaka kadhaa iliyopita Baada legendary aliyekuwa msemaji na muhamasishaji Bora Africa wa Simba Haji Manara kuondoka pale msimbazi Baada ya kutoelewana na tendaji Barbara
Haya ndio maneno...
Mhe. Tundu Lisu anapasha misuli michuano ya Afrika huko Ivory Cost. Kauli mbiu yake ni moja tu TUTARUDI NA KOMBE.
Nimefurahi sana kumwona yeye na familia yake wameungana na vijana wetu. Amefanya...
Nadhani iko wazi Kila mtu anajua kuwa timu yetu ya Simba imefika finali ya mapinduzi cup Kwa jitihada Binafsi za referee, kesho lazima tushinde dhidi ya Mlandege.
So ni vyema kama timu ku...
Yalikuwa mashindano yenye heshima hivi sasa yamekua mashindano ya kihuni yakiongozwa na marefariii wahuni hatujapata kuona nchi hii.
Upuuzi ulianza mechi ya mlandege kila mtu alishangaa ni kwamba...
Huu uwanja ni mzuri sana lakini kila nikiuangalia kwa nje ninaona haukukamilika na huenda pesa nyingi sana zilipigwa na wahuni.
Kama ndivyo ulitakiwa kuwa basi waliochora ramani ni wanafunzi wa...
Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo.
Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa...
Salaam Wana JF
Baada yakuhitimishwa Kwa mashindano ya kombe la mapinduzi..Mimi kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Leo nawapa fact hii
Kwanini Simba ya robertinho ilikuwa Bora?
Mzee robertinho...
Boss wako akikufokea, akikunyanyasa au kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio kwa makosa ambayo unaamini hujayafanya utakaa kimya na kumvumilia kwa vile ni boss wako na yeye ndiye anayekufanya...
Katika michuano ya kombe la mapinduzi msimu 2023/24, mechi pekee ambayo timu ya Mlandege ilishinda katika michuano hiyo ni mechi ya fainali na ikachukua kombe.
Wakati upande mwingine, klabu ya...
Haya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa...
Hii ni kumbukumbu, itaishi.
Nadhani Simba SC guvu moja mmeshaona mnakikosi cha aina gani.
mmefika kwenye penalt box za mlandege 45 times ndani ya kumi na nane and still hamna mlichozaa dah ...
Wakati kuna katimu kanajifanya kana "besi" la kusema mashindano ya kombe la mapinduzi hayana maana na kwamba yana gundu, Simba haikusikia kelele za vyura hao na badala yake imeyapa mashindano ya...
Kwa mara ya kwanza nmeona timu ya Kizanzibari ikicheza soka la kikubwa kama vile Al Ahly au Raja Cassablanca. Vijana wana morali na wanajituma kweli kweli sio wanyonge hata kidogo
Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.