Katika watu wenye imani na matarajio makubwa na Stars basi am one of them yaan full confidence, wachezaji wetu wanajiamini, wamepata maandalizi ya kutosha sana, isitoshe wachezaji wa kimataifa...
Embu angalieni clip hii.
Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na...
Mfahamu Kocha anayechukua Mshahara Mrefu kuliko wote kwenye mashindano ya Afcon Msimu huu,
Djamel Belmadi wa Algeria analipwa mshahara wa Euro 208,000/= kwa mwezi sawa na milioni 570 za...
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara na Kombe la ASFC, Yanga wanaweza kukumbana na rungu la kufungiwa kusajili katika madirisha matatu ya usajili ikiwa ni pamoja na kuondolewa msimu ujao kwenye michuano ya...
Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA.
Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya...
Kamati ya waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), imesema kuwa Mwamuzi Nasri Salum hakustahili kuipa Simba kona iliyoifanya ipate bao la kusawazisha, katika mechi ya nusu fainali...
Kiukweli Kipa Salim Ally anatosha kabisa kuliko kupoteza hela kwa Ayoub, ametuheshimisha sana, amewahi kucheza mechi ngumu na alifanikiwa, alidaka na Wydad mechi zote 2, amewahi kucheza na Yanga...
Maoni yangu kuhusiana na muda/ dakika zinazoongezwa baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika (additional or added minutes), maoni yamejikita kwenye ukweli na uhalisia wa jambo lenyewe kwa wale...
Niseme kweli SSC bado inasafari ndefu.
Haiwezi ule mpira wa kukimbizana dakika 90 bila kuchoka, mpira wa SSC ni slow na sio mpira wa kulazimisha ushindi.
Bado nina mashaka na sajili zao, huyu...
Kumekuwa na vijimaneno vingi juu ya Ushindi wa Simba dhidi ya Singida jana kwenye Uwanja wa Aman katika Mchezo wa Nusu fainali.
Malalamiko haya yamekuja baada ya Simba kupata Kona iliyozaa Goli...
Umofya kwenu members!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kufuatia tukio la jana kwenye mechi kati simba na singida fountain Gate kuna huyu mchezaji wa timu ya singida fountain Gate Waziri...
Habari wana JF wenzangu Mimi MENERIKI II naweka ahadi kwa timu yangu ya Taifa Stars, ikipata point 3 katika Kundi lake kila Mchezaji nitamnunulia SODA.
Naomba ikiwezekana wafikishiwe hii taarifa...
Waswahili wanasema "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" angalia hapa Mtoto wa mwanasoka Messi anavyolisakata kabumbu.
Mateo Messi amedhihirisha kuwa Baba yake amemkuza kuja kuwa Mchezaji bora mbeleni.
Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya.
Yanga mliona mbali sana
Hii mechi ya Simba ilikuwa ngumu kwa sababu ya kosa la Kennedy, kwenye mechi kama ile halafu unaamua ku-Maguire ni kitu cha ajabu. Ile wala hata sio reflection bali kutoa kabisa pasi vizuri kwa...
Sadio Kanoute amebadilika sana, sasa hivi amezoea mazingira, namwelewa sana hasa kipindi hiki cha Benchika, lkn kuna tetesi kuwa ameachwa kumpisha Babacar Sarr, aisee kama ni kweli tumekwisha...
Kuna wakati mtaani kulikuwa na msemo wa "Mapinduzi ya Zanzibar" kumaanisha mambo yanayotokea yasiyoeleweka au yanayochanganya kiasi cha kuvuruga akili za watu. Tumeona katika nusu fainali hii ya...
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa.
Nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.