Kimataifa unaona Simba inaubonda mwingi tofauti na mechi za ndani, ungesema mechi za ndani ingekuwa inagawa dozi kubwa kubwa lakini ni tofauti struggle ni nyingi, lakini kimataifa mechi ikipigwa...
Taarifa kutoka SkySports imedai kwamba Mchezaji huyo wa zamani wa Ujerumani Amefariki Dunia .
Nachukua nafasi hii kuwapa pole Wafiwa wote popote walipo , Amina .
---
Tributes have been paid to...
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza.
Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire).
Tanzania tangia...
Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter...
Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa.
Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad...
•••[emoji981]|ALEX NGEREZA
[emoji860]"Benchikha hana tofauti kubwa na Robertinho kwenye club ya Simba kutokana na performance ya timu ilivyo mpaka sasa kwasababu hata yeye ameshindwa kuirudisha...
Simba,Yanga Ni timu kubwa ila sijawahi kusikia wanamgombania mchezaji fulani na timu Kama Al ahly, mamelodi, wydad nk.... Ukubwa uko wapi Sasa??????
Pia kwanini hatusajili waarabu huku east...
Da aisee bongo Raha San maan kil mtu n mchambuz wa soccer. Wachambuz wenyw mazuzu wa hatar cjui tnakwam wapi mby zaid kil mtu anasheria zake za soccer n hataki zipingwe ila sio ajab maan...
Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano...
Simba SC kesho mnatoka, unless na nyie mfanye hujuma.
Mbaya sana Mpira wa Africa.
APR imehujumiwa magoli ya wazi kupitia offside za mchongo.
Kwa tabia hii hatukuzi soka la Tanzania Bali...
Mimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa.
Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana...
Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa...
Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.
Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere...
Jana nimeufuatilia mtanange kati ya timu ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate kombe la Mapinduzi 2024. Uonevu wa refa dhidi ya timu ya Singida unatakiwa kukemewa kwa kiasi kikubwa. Sababu...
Nyie mnadai Simba imebebwa ingawa mnajua tuliwapasua kwenu kwenye NBC, ss kama Simba haina uwezo subirini mechi ya marudiano NBC mtapima wenyewe kama hatuna uwezo au vip, wajinga kabisa nyie
Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe.
Yanga walishasema...
Ukitaka kujua hilo fungua threads zote zilizotumwa kwa muda wa mwezi mmoja tu humu katika jukwaa la michezo, utaona maandiko yanayoizungumzia Simba ni zaidi ya 80%.
Ziwe post hasi au chanya...
Tangu mechi za ngao ya jamii hawakuonesha maajabu, lkn kwakuwa walichukua kombe (kwa penati za mazabe ya kipa wao) wakajisahau kuwa wana timu mbovu. Baada ya kuanza kwa kusuasua kwenye ligi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.