Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
Zlatan Ibramovic
Edward Henrik Larsson
Hawa wote ni miamba ya Soka toka nchini Sweden japo kwao Sweden kuna mdau mmoja wa Sweden aliniambia Wasweden wanampenda sana Zlatan Ibramovic sio ajabu...
Wakati mwingine ujuaji usio na kiasi huweza kumsababishia mhusika matatizo yasiyo ya lazima mbele ya safari ambayo pengine angefika salama.
Haji Manara kwa mfano. Bwana yule hujifanya anayo mengi...
Waziri wa Uatamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watanzania na wadau mbalimbali wajitokeze kuzichangia timu za Taifa katika harambee itakayofanyika Januari 10, 2024...
Mashindano ni mengi sana kwa wachezaji walewale. Ligi, FA, CECAFA, Caf champions, AFCON na mechi za kirafiki zote hizi ni muhimu na zina uwezo wa kuzalisha majeruhi kwenye timu yako. Haya...
Bado Jamhuri ipo kwenye growth process , it is too obvious nyie kushinda.
Hakukuwa na changamoto.
Kwanza SSC leo hii ikikutana na YANGA bado SSC atalalwa sio chini ya goli 3 .
Haiwezekani...
Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na...
USAJILI WA SIMBA NI KAMA UJENZI WA MNARA WA BABELI.
Wakati wa ujenzi wa mnara wa Babeli mtu anaagizwa alete tofali yeye anaenda kuleta kilita cha ulanzi. Aliyeagizwa alete mchanga yeye analeta...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa onyo kwa mastaa wa klabu hiyo, ambao wamepewa nafasi nyingi kupitia michuano ya Mapinduzi ambao walikuwa hawapati nafasi ya kucheza kuitumia vyema...
Match Day
Simba SC Vs Jamhuri SC
Mapinduzi Cup
New Amaan Complex
Robo Fainali
08.01.2024
Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo...
Kwanza niseme Ninamuheshimu sana Saimon Msuva kama mchezaji na pia kama binadamu, nidhamu yake ndani na nje ya uwanja ni ya kiwango cha juu sana.
Lakini pia ni mchezaji ambae kila anapovaa jezi...
"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani...
Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023...
Tofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa.
Kauli zinazotolewa baada ya...
Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa...
Kama kweli Yanga wanania ya kumwacha Moloko basi heri Simba wamchukue, kwanza tumeona kiwango chake na tunaijua,halafu bado mdogo sema tu hapewi tu nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile...
"Ni ngumu sana kwa sasa Simba kusajili mchezaji mwenye kiwango kikubwa au timu kubwa kutoka Ulaya labda wasajili wachezaji wanaocheza ligi za daraja la chini au mchezaji ambae tayari kiwango chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.