Kitu pekeee nina chojua ni kuwa huu mpira wa mchaka mchaka uliopigwa leo SSC hawezi kukimbizana hivi. Hawana pumzi na ndjo maana tuliwalala tano.
Tumepambana sana lakini vimo vyetu pia vilikuwa...
Tuachane na hoja za hao wengine wanaodai michuano haikuwa na faida kwao baada ya kutolewa.
Hii michuano imekua muhimu sana Kwa Simba SC Kwa sababu imempa kocha Benchika.
Nafasi ya kuwajua vyema...
Badala ya kuanza kuchangisha tunaweza kuamua kutumia mapato yapatikanayo katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu ambayo ni mengi kuboresha na kuinua timu za Taifa kuliko kutembeza bakuli.
Mfano...
Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona...
Kutokana na klabu ya YANGA kutokukubali kuwa ni Timu ya Kawaida na inafungika Matokeo ya leo ya kufungwa na Klabu ya APR Magoli 3-1 katika Uwanja wa Amaani kwenye NUSU FAINAL ya kwanza na Kutolewa...
"Suala la mpira wapewe watu wa mpira na suala la uchawa wapewe watu wa uchawa."
Wizara ya Sanaa na michezo ijitafakari sana katika hili.
Hili Taifa Lina watu (Legends) waliofanya makubwa katika...
Kwetu sisi jeneza, machela Na kubebwa mzegamzega kama alivyotambulishwa Okrah yanga in mkosi, uchuro, Na ishara mbaya kwa mbebwaji. Mechi ya kwanza tu dk ya 15 tayari Okrah anataka kuuawa...
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi...
Kama mchambuzi wiki hii nimewaza sana kuhusu suala hili bila Yanga Tanzania ingekuwaje?...
Yanga wanaiweka busy nchi Kwa matukio yao ambayo wanayafanya mfano ...vile vichapo vya 5G...
Niko Zanzibar kwa ajili ya robo fainali. Niliikuwa na baadhi ya viongozi wa Yanga asubuhi moja ya mambo yanawaumiza kichwa ni hawa APR tuwape kikosi B ama C?
Nkasema si mbaya kupata ushauri wenu...
Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka...
Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri...
Endapo Yanga na Simba zitakutana Final ya mapinduzi hiyo trh 13 basi itakuwa ni derby ya 3 ndani ya mda mfupi na wachunguzi wa masuala ya mpira wakiongozwa na Eddo Kumwembe wanasema huenda team...
Simba oyee!!! Oyeeeeeee!!!
Kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya ya Simba ,benchi la ufundi na wachezaji wote kwa ujumla wametamba kuonyesha ukubwa wao katika mashindano ya kombe la mapinduzi...
Hapo vipi?
Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio...
Sababu
1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.