Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Match Day Simba Vs Singida FT FC. Time: 20:15. All the Best Mnyama #nguvumoja# Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa. Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali...
11 Reactions
421 Replies
67K Views
Ninashindwa kumuelewa huyu kocha sasa hivi, mechi ilionekana kuwa ngumu tangu mwanzo, tulikuwa tunacheza na Yanga na Azam ili tufungwe kesho watuzomee bandarini, unampanga Kanoute, Sarr na Ngoma...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu jamaa nimemtaza ni mchezaji mzuri mno Ana kila kitu ambacho namba 8 anatakiwa kuwa nacho Naona simba walijichanganya Unamwachaje Shiboub fundi unabaki na Kahata Jamaa ni fundi haswaa ana...
1 Reactions
11 Replies
756 Views
Nusu fainali ya kwanza... Mabingwa watetezi Mlandege FC wametinga fainali ya Mapinduzi Cup baada ya kuitoa APR kwa mikwaju ya penati. FT: Mlandege FC 0-0 APR FC (Pen: 4-2)
0 Reactions
64 Replies
24K Views
Stasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano...
3 Reactions
19 Replies
842 Views
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani. Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika...
1 Reactions
15 Replies
582 Views
Meddy Kagere upigaji wake wa penati ni wa kishamba sana, hajaanza kupiga penati za hovyo leo, hata alipokuwa Simba alikuwa akipiga penati kimasihara. Ila nna wasiwasi sana pale Singida kuna...
2 Reactions
7 Replies
760 Views
Kocha wa APR aombe radhi "Mapinduzi Cup ni Tournament Maalum yenye heshima kubwa hapa Afrika Mashariki na Kati.. Timu nyingi kubwa, Wachezaji wengi wakubwa wameshiriki. Tunapaswa kuyalinda...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Nani anabisha? Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba Ila toka ujio wa...
2 Reactions
1 Replies
424 Views
Nimeupenda ubunifu wao, kwa mbali namuona Inonga na jezi ya Unyamani.
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said kupitia kipindi cha Jahazi kinachorushwa na radio Clouds hapo jana alieleza namna klabu ya Yanga inavyojiandaa kupokea wawekezaji baada ya mabadiliko ya...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Sina tatizo hata kidogo na walioteuliwa kwenye kitu kinachoitwa Kamati ya Hamasa ya Timu ya Taifa. Naunga mkono kabisa uwepo wa kitu kinachoitwa kamati ya hamasa. Lakini siungi mkono aina ya watu...
18 Reactions
22 Replies
2K Views
Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana. Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon anayeitwa Guelor kanga Kaku, anatarajiwa kukutana na kamati ya nidhamu CAF kujieleza kwanini mama yake mzazi alifariki 1986 lakini yeye alizaliwa mwaka 1990...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunawaheshimu sana wanajeshi wetu kutokana na nidhamu kubwa waliyonayo na waliyojengewa. Sote tunaamini michezo ni Afya ,furaha lakini pia ni uchumi. Uwekezaji kwenye michezo michezo licha ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya kumtambulisha Kiungo Mshambuliaji Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kujiunga nao kwa mkataba wa miaka mitatu, Klabu ya Simba SC imefunguka kuhusu taarifa zinazomhusisha Kiungo wao...
2 Reactions
7 Replies
943 Views
Abdi Kasim babi ndio ni mmoja wa mafundi wa soka kutokea Zanzibari akibebwa na nguvu/stamina pamoja na ukali wa mashuti yake. Abdi Kasimu amecheza Yanga kwa mafanikio makubwa na alikua kati ya...
6 Reactions
12 Replies
791 Views
Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani...
9 Reactions
44 Replies
22K Views
[emoji599] SIMBA QUEENS WAPO CHAMAZI JKT QUEENS WAPO MBWENI ... [emoji1485] Leo Kuna Sintofahamu Kubwa Katika Mchezo Huu Wa Leo Simba Queens Vs Jkt Queens [emoji1485] Simba Queens Wapo Chamazi...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom