Kelele zilikuwa nyingi Baada ya legend mwenye mpira wake kuondoka hapa bongo kwenda Egypt
Wapo waliosema mayele kamkimbia baleke ..... wengine walisema baleke atampita mayele [emoji23]
Hizi ni...
Habari wana Jukwaa.
Weekend inaanza.
Ila hapa nataka niwakumbushe kitu kimoja kua msijisahau kua Team ambayo hua inabeba Kombe La Mapinduzi Mara Nyingi hua haibebi Kombe La Ligi Kuu Tanzania...
LAZIMA TUWAKUMBUSHE
Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa...
Unapofanya kazi ya kuwa mlinzi wa mmoja wa wanasoka mashuhuri duniani, basi tambua ni kazi ngumu sana, tena yenye kuhitaji umakini mkubwa. Hii inakwenda mbali mpaka kusema kwamba lazima uwe na...
Hawa vijana wanahitaji UONGOZI bora na SUPPORT ikiwemo financial .
Kama kuna TAJIRI anahitaji kuwekeza kwenye mpira , KVZ ni sehemu sahihi.
Laiti SSC ikingekuwa inacheza kwa spirit ya hawa...
Sikumbuki ni lini nimeliona jina la Maya Mia kwenye Instagram na kuamua kumfollow ila ninachokumbuka ni kuona picha za msichana wa kizungu mwenye makeup zinazovutia sana na kuamua kumfollow bila...
Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.
Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao...
Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che Malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #mapinduzicup
⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC
📆 04.01.2024
🏟 Amaan, Zanzibar
🕖 2:15 Usiku
Ni Match ya Round ya Tatu.
Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali,
Mechi inachezwa...
Kutoka @yangasc
Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa na Mwenyekiti wa Vilabu Barani...
BONDIA kutoka Tanga Hassan Mwakinyo ametoa maneno ‘mbofumbofu’ ( katupa jiwe gizani ) kwa kueleza kwamba haogopi mabondia wenye miili mikubwa na pia huwa anafurahia kuona ‘piko’ anazojichora...
Hii nchi ukiwa mwepesi wa Kucheka unaweza kupasuka Mbavu , Yaani Wahuni ndio wanaoteuliwa eti kwenye kuhamasisha timu ya Taifa .
Kwenye kikosi hicho yumo Mwijaku aliyeshindwa kutimiza ahadi yake...
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado...
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo
Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY
Alikuwa akiandika mada ndefu huko...
Simba SC wamefanikiwa kuvuna alama 3 muhimu baada ya kuifunga timu ya Singida FG kwa mabao 2-0 na kukwea kileleni mwa msimamo wa Kundi B.
Kasi ya Simba aliyoanza nayo ilisababisha kona ya mapema...
Mchezaji Luís Miquissone hakuwa mchezaji mbaya, ila ugomvi ndani ya uongozi ulisababisha afungwe miguu ili aonekane mzito, halafu kumbukeni Micquisone amesajiliwa kwa nguvu ya Mo Dewji na Try...
Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.