Kiungo mshambuliaji fundi wa Simba aliyekuwa majeruhi, AUBIN KRAMO amerejea nchini akitokea Ivory Coast na fasta akapanda boti kwenda kuongeza mzuka kikosini mjini Unguja, Zanzibar. .
Kramo...
Leo ni nusu fainali iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Yanga na Simba.
Mechi inachezwa saa mbili usiku kwenye Uwanja wa Amaan...
Mimi binafsi sitamani SSC irudi kwa form.
Niseme Wazi matatizo yao ndio furaha yangu. Simba iendelee kuwa kwenye mgogoro na kufanya vibaya.
Pamoja na yote yaliyotokea leo, bado sikioni kikosi...
Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika...
Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye...
Siku hizi limeibukaa wimbi la Utapeli hasa toka Kenya ambapo vijana wa Kenya na wachache watanzania wanawaambia vijana wa Kitanzania kuwa wao wana Odds za UHAKIKA so uwape hela wakuuzie. Vijana...
Umofia kwenu!
Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao.
Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya...
Utafiti,
Kwa mwaka ulioisha timu ya Simba ndiyo timu iliyoongoza Kwa kupata ushindi kupitia magoli ya penalty kwenye michuano ya ndani na nje.
Kwenye Kila magoli 3 ya Simba Kuna goli Moja la...
Tetesi kutoka kwenye chanzo Cha kuaminika kutoka nchini Mali kuhusu Kipa wa Yanga SC Djigui Diarra zinasema Kuna timu ya ligi nchini Uturuki inahitaji huduma ya golikipa Huyo Bora ndani ya Africa...
Amri Kiemba nani asiekujua wewe, nimekusikia ukisema uchezaji wa Duchu, Chilunda na Mwinuke haujakushawishi, we nani hadi ushawishike na kiwango chao, wakati unacheza soka ukiibuliwa na Kanali...
Aubin Kramo nimemuona mwenyewe leo Zanzibar akiwa jukwaani amekaa anacheki gemu ya Simba vs Singida, Ahmed Ally kama unanisoma hapa, wazee wangu wa Pemba wamenituma wanamtaka Baleke, Phiri, Kramo...
Muda ni mali, ukiupoteza umepotea siku, nimewahi kufanya kazi ya uandishi wa habari kuanzia mwaka 1998 - 2008 nikiandikia magazeti ya Nipashe na Alasiri na kidooogo sana gazeti la Lete Raha, enzi...
https://www.instagram.com/p/C1oOXzsKn-N/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Unajiuliza hiki ni kikundi cha wahuni ama nini. Hata ndondo cup ya kina Shafii Dauda sidhani kama...
Habari Wakuu ,kweli madhabiki wa simba ni watu wa hovyo tu kwa sababu
Siku simba ikofungwa basi wanaanza lawama either kwa viongozi or wachezaji
Siku timu ikishinda basi wanasahau matatizo yao...
https://youtu.be/8irfsqXvYXw?si=zl4iDwIz-hgBriu6
Kapiga goli la kuchekesha 😀😀😀😀
Kwanza alitaka kupiga chenga kama Ronaldo, akafanyiwa faulo. Kisha akapiga goli kama Ronaldo
My Take
Huu mgoli...
Kama wewe unajua mpira na unafuatilia soka la Tanzania huenda utakubaliana na mimi. Ni vigumu mnoo kuwa na mchezaji mwenye sifa hizi.
1. Usikivu wakati wote.
2. Utulivu wakati wote.
3. Umakini...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha...
Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku.
mungu ibariki Yanga SC
Kila la kheri Yanga SC
Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.