Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1.Yanga 5 Simba 1 2. Kibu Dennis kupondwa na mashabiki na sasa anatakiwa Wydad 3.Clatous Chota Chama kudaiwa kuuza mechi vs Yanga 4.Ayoub Lakred kupondwa na sasa anaombwa radhi 5.Mzee wa...
2 Reactions
17 Replies
997 Views
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Unajua adabu ya mtu unaijua toka mwanzoni. Okra mchezaji mzuri sana, najua atatusaidia. Jana sikupenda allivyovyaa kwa kweli ile jeans yake, Yanga watu wa heshima siku zote. Kuna kipindi alikuwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
1. Hiyo Cortulua ipo ligi daraja la pili. 2. Cortulua walimsajili 2023 kutoka timu nyingine ya daraja la pili 3. Ameingia kwenyw mechi 10 tu mwaka 2023 na amefunga goli 1😎 4. 2022 amecheza...
0 Reactions
13 Replies
604 Views
Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka kwenye hili jukwaa la jamii sports tunaangazia wachezaji waliofanya vizuri kwenye Ligue ya NBC premier league. Hii ni list ya miongoni mwa wachezaji...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari Wakuu, nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila utopolo....
3 Reactions
134 Replies
10K Views
Mwamba wa ghana kipaji anacho kizuri tu. Sasa shida ni starehe zimezidi inadaiwa baada ya kutua jiji la starehe za aina zote DAR ES SALAAM, Okrah amekua ni mtu wa maji sana. Tafiti za kimatibabu...
12 Reactions
71 Replies
7K Views
Maji Yamefika Ukingoni Mfalme mfupi mara ya kwanza alikuja msimbazi akiwa na hasira nyingi za kuutafuta mkate alikuja akiwa binadamu aliyekamilika zaidi na mguu wake wa kushoto ,nakumbuka sana...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi. Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Crispin Ngushi mshambuliaji hatar wa yanga aliyekuwa akitamba sana enzi zake akiwa Mbeya Kwanza, alikuwa on fire sana jamaa, sababu za yanga kumsajili ni uwezo wake wa kumiliki mpira, nguvu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Happy New year .. Mwaka jana Baada tar 31 Dec 2023 tumeshuhudia Yanga ikiikanda jtimu ya jamhuri Kwa kichapo Cha 5 [emoji113] lkn Kuna vitu vya kushangaza Je jamhuri ni wadhaifu Jamhuri...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Naam! Kuna tetesi nyingi zinavuma kuwa Augustine Okra atasaini Yanga Sc katika dirisha dogo na kelele za Saimon Msuva kutua Yanga Sc. Hii ni kwa wenye kufuatilia na kupenda football hakuna...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa ya upendo ya leo ambayo tumeona ni vema tusiwafiche washabiki wake ili visukari visije kuwapanda hapo baadaye . Arsenal 0-2 Westharm
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ikiwa tunahesabi siku Ili kuukamilisha mwaka 2023 Leo turejelee matukio makubwa yaliwahi kutokea kwenye ulimwengu wa futbol hapa mjini Tanzania 1. Yanga 5 ...1 Simba, hapa ilikuwa tar 5/11 mwaka...
1 Reactions
17 Replies
816 Views
Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda. Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa...
14 Reactions
31 Replies
5K Views
LUIS Jose Miquisson Alipokuja kwa mara ya kwanza nchini walimuita Konde Boy. Alipewa jina hilo kwa sababu mbili. Kwa ubora wake kufananishwa na msanii Harmonize. Lakini kwa asili yake kuwa...
12 Reactions
79 Replies
6K Views
Back
Top Bottom