Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeshtushwa na kichwa cha habari cha gazeti la Mwanaspoti la leo kwamba eti kwa sababu ya ujio wa Okra basi Moloko na Musonda hatma zao ndani ya Yanga zipo mashakani. Please Mr. President , do...
4 Reactions
78 Replies
4K Views
"Kwenye mazoezi Diara anacheza namba sita, huwa anamwambia Mshery kaa golini nishikie kidogo kwanza, ngoja nikakae na Sure Boy pale."- Ali Kamwe, @alikamwe Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Uko vizuri sana kijana na ndio maana kocha kakuona na kakujumisha kwenye kikosi Cha awali Cha timu ya Taifa ya Ivory coast sio jambo dogo! Lakini imekuwa ngumu kupenya mbele ya wachezaji wakubwa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
KOCHA wa Asec Mimosas, Julien Chevalier amesema hana kizuizi kwa supastaa wake Karamoko Sankara kwenda Yanga, lakini litakuwa pigo kwa timu yake. Yanga imekuwa ikitajwa kutaka saini ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wale wanaocheza kule utopoloni, Mzengeli, Moroko na Joyce kumbe ni waha wa kibondo bwana...[emoji23][emoji23]
7 Reactions
114 Replies
6K Views
Kumekuwa na hali ya kuupamba sana huu uwanja uliofanyiwa ukarabati wa Amaan Stadium hapa Zanzibar, kwakweli bila kupepesa macho wameshindwa kwenda na mabadiliko na maendeleo ya sasa katika sekta...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Mimi kama mshabiki wa Dar young Africa sikubaliani kabisa usajili huu wa walevi wawili, Ogra na Mkude. Hawa ni walevi sio wachezaji, hawastaili kusajiliwa Yanga.
5 Reactions
37 Replies
2K Views
1.Diarra 2.Lusajo mwaikenda 3.Lomalisa 4.innonga 5.Job 6.Sospeter banana 7.Paccome 8.Feitoto 9.Dube 10.Aziz k 11.kipre jnr Njoo na wewe utaje kikosi chako
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari Nadhani sasa wenzetu Makolo wameanza kujifunza nakujiendesha kisasa kama sisi team ya Wananchi, nadhani wamejifunza kwetu. Nawapongeza kwa hili Mwezi wa 6 usajili ulijaa kufukuza na...
0 Reactions
4 Replies
633 Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa ligi kuu ya NBC, mpaka Sasa nakiri kuwa huyu kijana Mganda anayecheza klabu ya Tabora United aitwaye JOHN BEN NAKIBINGE ni kiungo Bora wa ushambuliaji. Anafaa kuwa hapo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
HII YANGA SASA SIFA,YAKIMBIZANA NA REAL MADRID KUWEKA REKODI ZA KIDUNIA [emoji599] Hii ni list ya team zilizoongoza kufuatiliwa zaidi kwa mwezi December Kwa Kila bara kwenye mtandao wa Instagram...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
NALIA NGWENA nilikua ni mmoja Kati ya watu tuliokuwa tunashuhudia diamond platnaumz akisheheresha kufunguliwa kwa uwanja mpya baada ya kufanyiwa marekebisho uwanja wa Abeid Amani karume. Kwa Hilo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club. Baada ya Simba kupitia kipindi kigumu cha kuangusha...
2 Reactions
16 Replies
920 Views
Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya...
2 Reactions
47 Replies
1K Views
Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Tukiwa tunaelekea kumaliza Mwaka wa 2023 nawakaribisha wanamichezo wote wa Jukwaa hili tukaribie hapa. Naomba Tuweke Matukio ya Kimchezo katika picha ambayo yametokea kwa Mwaka huu 2023 ambapo...
0 Reactions
7 Replies
756 Views
His image to be displayed at the opening ceremony of the 2023/2024 AFCON. He died of cardiac arrest in June 2017 during a training session, at the age of 30. Tiote played 55 times for the Ivory...
4 Reactions
8 Replies
709 Views
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar. Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya...
8 Reactions
38 Replies
7K Views
TAARIFA Kwa Mujibu wa @jr_farhanjr ni kuwa Yanga Africa wamevunja Mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama CPA Haji Mfikirwa.. Sababu zinatajwa kuwa ni Kusua sua Kwa zoezi la...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom