Winga machachari (Messi wa bongo) Denis nkane kijana pendwa wa Prof Nabbi leo kapata nafasi ya kucheza Baada ya kukosa mechi kadhaa kwa tatizo la kusumbuliwa na majeraha.
Bwana mdogo karudi Tena...
Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema
Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa...
Coach wa Taifa stars hajamujuisha mshambuliaji hatari wa Tanzania anayecheza KRC Genk ya Belgium
Coach huyo alipoulizwa ameapa hatomuita tena kuchezea team ya Taifa kwa utovu wa nidhamu...
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo...
Nimejikuta natafakari sana juu ya kauli aliyoitamka Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) na nikagundua huyu hajui chochote kuhusu mpira Bali ni mshehereshaji tu.
Kutokana na kauli yake ya kusema...
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.
Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu...
Kuna anae bisha?
Kama unabisha ilete timu yako uwanjani.
Aidha wakati mnaendelea kuumia, uwekezaji wa Yanga ni serious business guys we are not joking and very straightforward.
Na very soon...
Jamaa anajua kucheza na mpira miguuni ukimkaba unakuta mpira haupo unachobkutana nacho ni miguu yake mpira unakua nyuma yako huenda ndio sababu kuu inayomfanya apate majeraha kila wakati, pia...
Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji...
Wanakamati, hadi muda huu ikiwa timu zote zinazoshiriki Kombe la Mapinduzi licha ya kupigiwa promo sana ni mechi mbili pekee zimejaza uwanja, Mechi iliyochezwa na Yanga na nyingine ni mechi ya...
Timu zilizoshinda mechi nyingi kwa Mwaka 2023.
1. Al ahly. 45
2. Sundowns. 39
3 Esperence Tunis ....35
4. Young Africans.....35
5. Wydad Ac .....33
6. Ases mimosas......29
7. As far......29
8...
Uchezashaji wa kikanjanja ambao unapendelea Yanga na Simba umesababisha Tanzania ikose Mwamuzi hata mmja kati ya 11 waliochaguliwa.
Just imagine hakuna hata raiseman...
Kanuni za mpira tulipokuwa watoto:
1. Mtoto mnene daima alikuwa mlinda mlango.
2. Mmiliki wa mpira ndiye anayeamua na niacheza.
3. Kama hukushiriki kutengeneza mpira, huchezi mechi.
4.Mwenye...
KUMBE hizi timu zinazocheza na yanga zikiwa na jezi za rangi za yanga zina msaada sana. Kamwe amesema kama sio Jamhuri kuvaa njano alikuwa apewe mikono miwili
Kwa heshima tukakubaliana jamanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.