Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka
Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni...
Baada ya mchezo wa shield community (ngao) Simba sc walichukua taji.
Kwenye interview walisema "huu ni mwanzo mzuri tumefungua msimu vizuri na siku zote atakayechukua kombe hili huwa anachukua...
Baada ya kukiangalia kikosi cha timu yake, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha, ni kama ametoa angalizo kwa viongozi wa klabu hiyo kuwa makini wanapoenda sokoni kipindi cha dirisha dogo la...
aziz ki, has extended his contract with tanzania giant, young Africans till 2025. this has been reported from people operating within young Africans sc, more info, coming soon.
My comment ...
Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye picha
[emoji1241] Azam FC are closing in on the signing of Colombian forward Franklin Navarro (24) from Cortuluá. [emoji599][emoji1075]
#Transfers
#africanfootball
#weareazamfc
Credit to...
Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
Kwa kiwango cha wachezaji wa Simba, tusubirie tuu kubugizwa goli 2-0 au 3-0 na Azam fc, na huo ndio utakua msumari wa mwisho kwenye jeneza la Simba
Gibril silla
Prince Dube
Kipre junior...
Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya...
Club Ya Manchester United Alimaarufa Mashetani Wekundu imepata Ushindi katika Mchezo wake dhidi ya Aston Villa ambapo Mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Old Trafford.
Aston villa walikua wa...
KUTOKA:KWA MSANII JOTO LA MOTO.
Nakuja kuwasilisha,na pongezi kuzitoa.
Msimu umeshakwisha,hesabu zimeshatoa.
Alama zilizotosha, Mnyama kaziopoa.
Sema this is Simba,Mabingwa wa Tanzania.
Hongera...
Utafiti Tovuti ya FBref.com inayojihusisha na takwimu za michezo mbalimbali, umeonesha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi ndiye mchezaji wa soka aliyetazamwa mara nyingi mtandaoni katika Nchi...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC
📆 20.12.2023
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 4:00pm
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Yanga!!
#DaimaMbeleNyumamwiko#
Kikosi cha Yanga kinachoanza...
No talks between Simba SC and Mamelodi Sundowns to sign Aubrey Modiba (28) — just been informed. [emoji599]
No contact made at all to even agent. [emoji777]
However, Hernest Briyock Malonga (21)...
Ameandika @alikamwe
Tena Bila aibu .. Wameandika kwa Mbwembwe kabisa Eti Klabu 𝐙𝐢𝐧𝐚𝐳𝐨𝐰𝐚𝐧𝐢𝐚 kucheza Klabu Bingwa ya Dunia[emoji3] Wanawaniaje? Kimyaaaa ..
Naona Wachambuzi wanapata Kigugumizi...
Kwa hapo alipoifikisha inatosha ameishiwa hana cha kuoffa tena.
Kama unafuatilia mechi Newcastle wanastaili moja ya uchezaji ni rahisi sana kuwazuia.
Kama maboss wa Newcastle wanaitaka top four...
Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki...
Jana wakati nashushia pilau langu kwa mvinyo, nikaanza kukumbuka points ambazo Simba imezidondosha KIZEMBE SANA katika hii misimu minne iliyotumiwa na FIFA kujua timu za kwenda Kombe la Dunia...
No talks between Simba SC and Mamelodi Sundowns to sign Aubrey Modiba (28) — just been informed. [emoji599]
No contact made at all to even agent. [emoji777]
However, Hernest Briyock Malonga (21)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.