Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa...
Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu...
Habari wanajukwaa
Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁
Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo...
Habari za jioni wakereketwa wa kabumbu.
Ebwana kutoka kwenye chanzo cha ndani kabisa na kwa mtu Makini na kiongozi wa Simba ambaye ni miaka 4 sasa anafanya kazi Simba amenipa dondoo nne za...
Ni nyota njema kwa kocha Benchikha kwa kuanza vizuri katika ligi ya Nbcpl maana Simba sc toka walipochezea kichapo Cha goli tano dhidi ya mtaani haijawahi kushinda Tena Ila ushindi mkubwa ni droo...
🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC
📆 23.12.2023
🏟 Jamhuri, Dodoma
🕖 1:00 Usiku
Game yakufunga Mwaka hii.
All the Best Young African SC...
Wakuu habari
Katika miaka kadhaa na michache ya kuishi kwangu hapa duniani nmekuwa msomaji wa majarida na maandiko mbalimbali yanayohusu maendeleo ya miji, taasisi na nchi tofauti tofauti.
Moja...
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa"
Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi...
Watu wa Soka,
Leo nimewakumbuka humu. Bila shaka mko poa!
Dirisha Dogo limeshafunguliwa na timu zote ziko mbio mbio kufanya maboresho kwenye vikosi vyao. Sio jambo baya lakini sio shurti.
Kwa...
Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale!
Wasi wasi Wangu...
Kwa wale wenye macho ya kuona mbali kama sisi ( great thinkers) wa hapa jf nadhani atakubali Kuna kitu hakipo sawa pale mjini Simba Kwa fact zifuatazo:
1. Kila Simba ikianza kushine na kuanza...
Yanga atakuwa bingwa kwa mara tatu mfululizo na Azam atashika nafasi ya 2, hii ina maanisha kuwa Simba atashika nafasi ya 3 na atashiriki kombe la Loser mwakani, Mark my words.
Wanaochezesha...
Wazee wa ten percent waliomleta kipa Ayub wamefanikiwa kwa asilimia 70 na wameziteka hisia za mashabiki na kufanya wamsahau bwana mdogo Ally Salim.
Kwani anachokifanya Sasa Ayub Lagreb kilifanywa...
Kinachoonekana sasa,mchezaji huyu yuko tayari kucheza yanga hata bure.Simba msijaribu kwa namna yoyote kumshawishi abaki Simba.
Kuna machawa kama mwijaku wameanza ujinga eti chama arudi ama kocha...
Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana.
Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao...
Hii ni dhahiri Sasa kwamba baleke ametumwa kuihujumu Simba, hivi inakuwaje unalipwa mshahara halafu unatenda kinyume na maadili ya timu Kama mtumishi.
Hi haikubaliki Bora waondoke tu.
Aidha...
Mashabiki wa mbumbumbu wanaupiga sana vita uwanja wa CHAMAZI kwamba auwapi matokeo wanayotaka kisa tu yanga anapata matokeo Kila akicheza pale, Sasa nawauliza uwanja wa uhuru umefungiwa...
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam...
Simba bila chama matokeo yake ndio haya, Tunaomba watuambie Chama kafanya Makosa Gani ya Kinidhamu..??
Mnatukosea sana mashabiki
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.