Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika...
Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli.
Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika.
Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki.
Waliosema Manula atafute timu Leo...
Vunja Bodi ya Simba haina uwezo wa kukushauri wala kukusaidia, wape kazi wanachama wakushauri watu wa kuingia kwenye Bodi, hiyo Bodi kwa sasa inakuchonganisha na mashabiki na wanachama wa Simba...
Habari wajumbe.
Ni muda Sasa sijamsikia mtangazaji maarufu wa kabumbu wa Azam Media, Baraka Harrison Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambae mechi zote kubwa mara nyingi huwa anakaa nyuma ya kipaza...
SSC mtagombana na makocha wote, makocha hawana Options, wachezaji wa SSC ni wamemaliza maajabu yao kwa asilimia kubwa na hakuna wachezaji wenye uwezo kwa kocha kufanya maajabu.
Hata mshinde vipi...
Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji.
Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji...
Sorry mwalimu wa medeame wewe sio wakwanza kufukuzwa baada ya kufungwa na yanga
Nikumbushe mwalimu mwingine aliefukuzwa baada ta kufungwa na yanga[emoji116][emoji116]
Mwingine ni robertinho Toka...
Uwanja huo ambao gharama yake kwa mechi moja ni milioni 5.9 kwa siku sisi hatuutaki na ndio maana hatukwenda kwa wingi uwanjani, na mkiendelea kutumia uwanja huo hata nafasi ya nne hamshiki msimu huu.
Ikicheza mchezo wake wa 18 katika Premier League msimu huu wa 2023/24, Manchester United imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya West Ham United, ikiwa ni mchezo wa 8 kupoteza katika Ligi hiyo.
United...
Kuelekea Mechi ya chelsea na Man utd
siku ya jumapili hutawaliwa na sayari ya jua na nyota yake ni ya simba,ilhali tarehe 16/04 hutawaliwa na nyota ya kondoo
Chelsea man utd...
Habari wakuu
Clatous chota chama ameifanyia simba makubwa sana kwa misimu kadhaa nyuma ila imefika wakati simba tunapaswa kuachana nae na kuangalia maisha mengine.
Yanga waliachana na Saido...
Kutokana na Sheria kutoruhusu vilabu viwili tofauti vyenye mmiliki mmoja kushiriki michuano hiyo.
Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ?
Angalizo : Vipi kuhusu
RB SALZBURG na RB LEIPZIG...
Imefahamika kuwa mabosi wa Simba SC wapo kwenye mazungumzo na winga wa klabu ya Sporting Lagos ya Nigeria, Jonathan Alukwu kufuatia maagizo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha katika...
Tunajua tunachokifanya kwenye program za Watoto ndo maana tunatumia Watoto kweli kwenye mechi zetu
Hatuangaliii matokeo ya leo tunaangalia faida kubwa ya baadae kupitia Watoto hawa
Hatutaki...
Timu za kariakoo (Simba sc na Yanga Sc) Hawa mapacha huwa wanakasumba sana haswa Hawa viongozi wanapoulizwa kuhusu suala la masilahi.
Nimemshuhudia Chama (kipenzi Cha mashabiki) akicheza mpira...
Jina lake kwa sasa ni kubwa kwenye Ulimwengu wa Soka na anatajwa takribani kila wiki, amecheza soka Hispania, Ufaransa, Scotland na England.
Timu alizocheza
Barcelona B
Paris Saint-Germain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.