Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

𝗥𝗲́𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 JSK inatangaza kusitisha mkataba wa wachezaji wake wa zamani Hichem Mokhtar na Saimon Msuva. Tunawatakia mafanikio mema katika maisha yao yote. #𝗩𝗶𝘃𝗲𝗝𝗦𝗞 #𝗩𝗶𝘃𝗲𝗝𝗦𝗞 #mobilis...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Hii mipira inatupeleka kusiko kabisa . Diara kupangua Penati jana eti kuna wabongo wameumia kuzidi hata Medeama. Inaelezwa chuki hii ni kwasababu AMEHARIBU VIBE LILILOKUWA LINA TREND LA AYOUB
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za uhakika kutoka TPLB naambiwa mechi ya Tabora United na Yanga inachezwa Dodoma na ile ya Tabora United na Simba ndiyo itachezwa Tabora. Hii dhana ya upendeleo kwa Yanga itaendelea...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari za muda za Huu na pole na mihangaiko ya kutafuta maokoto Baada na uchovu iliyotokana na mihangaiko Nimeona nishushe game la Pes 2016 nimeinstall kwenye PC yangu Ya Dell limekubali hata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu. Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni...
1 Reactions
3 Replies
762 Views
Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa. Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina...
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 +...
21 Reactions
96 Replies
7K Views
SSC mnatakiwa kuona namna ambavyo Dar Young Africans wanavyocheza, ni kazi nzuri ya Hersi Said, Injinia. Kaeni nae chini awape mbinu. Hata yeye alijifunza kutokana na mafanikio SSC ya kipindi...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
Yule mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika, ni mchezaji wa viwango vya juu, anajua na anajua Tena na Tena Kuna kopi za wakina Pacome wameamua kumuiga na wao wakaweka bleach🤣🤣 lakini uchezaji...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili. Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Yanga wana timu mzuri saana Sio tu Timu Nzuri pia yanga wanacheza vizuri Wanatakiwa kurekebisha makosa madogo tu Ili wawe bora zaidi na makosa hayo ni kujifunza jinsi ya kutumia nafasi ambazo...
7 Reactions
10 Replies
561 Views
BREAKING NEWS Mahakama ya Ulaya imeamua kuwa UEFA na FIFA zilichukua hatua kinyume na sheria ya mashindano kwa kuzuia kuanzishwa kwa Super League mwaka 2021 na sasa ni Halali kuanzishwa...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Jana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili. Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Man United, Atlético, PSG, Bayern plus La Liga clubs including Sevilla, Valencia, Villarreal announce they are 𝐀𝐆𝐀𝐈𝐍𝐒𝐓 Super League. La Liga and Ligue1 both released statements against...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Kikosi kipi unakitabiria makubwa?kipi kimekufurahisha na kipi unaona kinaenda kuwakilisha tu....?? We're here......
0 Reactions
1 Replies
510 Views
Kuna wadau wanaotaka Yanga kuongeza washambuliaji dirisha dogo. Siungi mkono kwakuwa walioko wanatosha na kupitiliza. Timu ya Yanga Ina magoli mengi ya kufunga kuliko timu nyingine ya ligi hivi...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Kama Kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo, kiukweli huyo Jamaa ni hakuna mchezaji hapo Ball control 2%, Passing accuracy 0.5%, Shooting accuracy 1%, Kiufupi Huyo Hafiz hakuna mchezaji hapo leo hii...
11 Reactions
25 Replies
1K Views
Mashabiki oya oya acheni umbumbumbu, Kama unamtupia mawe Max Nzengeli anza kumrushia mawe kwanza mfungaji wenu (Jean Baleke) maana nae anagoli sawa na Max Nzengeli. Eti "kashuka kiwango" Eti...
2 Reactions
4 Replies
457 Views
Back
Top Bottom