Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni...
Salaam Wana jf
Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Kila nikijaribu kuitazama kiundani hii mechi ya Simba vs Wydad....naona ngoma ngumu
Nmejaribu hata kubashiri Kwa kutumia science ya asili bado...
Leo ndio nimeamini kuwa benchi la Simba linafuatilia maoni yetu hapa jf ...Kwa Hilo nawapa hongera
Juzi nilitoa ushauri wa jinsi wydad Casablanca watakavyo shinda kirahisi Kwa makosa madogo...
Habari wakuu
Wengi wenu mtakumbuka msimu uliopita nilifanya utabiri wa namna kundi la simba litakavyoisha baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo na ndivyo ilivyokuwa mwishoni, utabiri ulienda...
SSC inahitaji point nne kusonga mbele. Je game yake ya home wydad atapoteza ?
Simba atamla Galaxy ?
Simba atamla Asec kwao au ku draw .
Maswali yote hayana majibu
SSC amejisogeza but bado...
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!
Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
Kama uliangalia ile game Vs Asec save aliyofanya aisee Ni bonge la kipaa, binafsi sielewagi kwanini huyu mwamba anapondwa, makosa yapogo tuu kwenye mpira Ni kipa gani duniani mzuri hajawahi...
Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania.
Mume kamaliza...
Ni takriban miezi miwili tangu kuzinduliwa wa michuano ya African Football League (AFL) ambapo mabango ya matangazo ya umeme yalianza kufanya kazi kwa mara ya kwanza
Lakini katika hali ya...
Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale...
Mzee Dalali ameomba wazee waruhusiwe kwenda pale kambini kuondoa upumbavu wote uliowekwa ambao unasababisha wachezaji waonekane hawana uwezo, wazito na hawajui mpira, wachezaji kama Chama, Bocco...
Sidhani kama Kuna kazi rahisi na nyepesi kufanya kama hii kua mchambuzi WA michezo hapa Tanzania, Yani unapata hela kwenye maredio kiurahisi sana! Ishu kubwa uweze kua mnafiki tu, unaenda na...
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.
Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
Habari Watani (Simba Sc).
Nawatakia Kila Jema Juu Ya Mchezo Wenu Wa Leg 2 Dhidi Ya Wydad Casablanca Utakaochezwa Siku Ya Leo Jumanne Uwanjani Wa Benjamin Mkapa.
Mkipoteza Mchezo Huu Ni Sawa Na...
Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani
Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy
Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari...
Huyu kocha leo nimemvulia kofia, kumchezesha Duchu ambaye tangu asajiliwe hakucheza mchezo wowote halafu leo unamuingiza akashikilie bomba ilikuwa jambo la hatari sana.
Kumuingiza kiungo Abdallah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.