1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba
2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo.
3.Inonga Baka auzwe...
Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa...
Licha ya muda mfupi aliokaa na timu kocha mpya wa SIMBA bwana Benchka, kwa mara ya kwanza nimeiona tena ile simba ya kupambana mwanzo mwisho.
Tangu atimuliwe yule fitness coach ambae aliondoshwa...
Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi...
Mimi siyo mtabiri ila baadaye Baada ya mechi ya wydad na Simba .....washabiki watakuwa wakiimba hatumtaki benchika [emoji23][emoji23][emoji23]......... hatumtaki mangungu
Je unadhani hizi vurugu...
Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana"
Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha...
Kiukweli Yanga wapo kwenye peak , sio kwa sababu ameshinda tu bali hata mpira unavyochezwa unaona kabisa kuna flow na chemistry nzuri baina ya wachezaji.
Kuna nafasi kubwa Yanga akatoboa makundi...
Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho.
Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania mashabiki na wapenzi wote wa mpira Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla.
Kama kuna sehemu tunafeli kama taifa ni sehemu ya wachambuzi...
Kwa kiwango cha Yanga na muendelezo wa matokeo mazuri ya team yao nilitegemea jana wajae ila imekuwa tofauti na matarajio licha ya majigambo na mwenendo mzuri ila uwanja ulikuwa nusu hakukuwa na...
Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu...
Shaaban Chilunda yuko benchi na Phiri hatupo ktk list ya wanaoanza au kuwepo benchi but endapo atapewa nafasi leo, utakuwa mwanzo wa Chilunda kuaminika kwa Benchika.
Chilunda namuamini sana, hata...
Mabingwa wa soka wa Afrika kwa ngazi ya vilabu Al Ahly ya Misri imechapwa mabao 2-0 na mabingwa wa vilabu wa Amerika ya Kusini Fluminense ya Brazil.
Fluminence sasa imetinga fainali ya Ijumaa hii...
Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF.
Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto...
Hivi hawa Ihefu ndiyo wale wale walio wafunga kweli Yanga goli 2-1 kule Highland Estate!!
Mpira umemalizika muda si mrefu leo tarehe 18/12/2023 kwenye uwanya wa Jamhuri Dodoma.
Yaani msimu mzima...
Tunakwenda uwanjani kwa sababu yako Benchika, sio kwa sababu ya Ahmed Ally na viongozi wake.
Tunakuja uwanjani kuishangilia Simba coz umetushawishi sana, soka letu limebadillika, tunakuombea kwa...
Nimekusikia leo ukimponda mzee Dalali kuwa alikosea sana alipokuwa analia wakati anaiongelea mechi ya Simba vs Wydad siku ya uhamasishaji pale Mbagala, ukilaani vitendo vya kishirikina alivokuwa...
Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa...
Yaani hata sijui niielezee vipi mnielewe. Watu wazima kabisa, nchi moja wanakuwa na chuki zisizoelezeka ambazo haijulikani zimeanzia wapi na zitaishia wapi. Yaani wa Yanga wanaichukia Simba, na wa...
Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa
Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.