Benchika, nakusalimu na nakupongeza kwa kuibadilisha Simba, kesho ni final mzee wangu, iwe jua au mvua lazima tusimamishe nchi, najua Wydad nao wanachukulia hiyo ni final kwao, watavuruga sana...
Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na...
OFFICIAL[emoji837]: Teams qualified for the 2025 Club World Cup so far:
UEFA:
[emoji1022]Chelsea
[emoji633]Real Madrid
[emoji1022]Man. City
ASIAFC:
[emoji1210]Al Hilal...
Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa...
Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
Nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ya Christmas's kabla sijasahau
Naomba niwape siri kama kuna timu Medeama atajuta kukutana nayo nyumbani ni Yanga
Nisiseme mengi kifupi Yanga itashinda FT na...
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa...
Ukweli usemwe hakuna haja ya kuficha ficha, kwa Sasa viongozi wa Simba sc wanaumiza vichwa/kukuna vichwa ni jinsi gani Mashabiki watapatikana katika mchezo wao na Wydad Casablanca.
Nikitazama...
Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR
Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga
Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa...
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza...
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza...
Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza...
GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.
Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda...
Jana TFF wametangaza ujio wa video assistant referee ( VAR) hapa nchini Tanzania itakayotumika kwenye Ligue yetu .......
ni jambo zuri ila Baada ya kufikiria sana nmegundua mambo haya
1. Kuanza...
Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield imelazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Premier League ambapo Liverpool ilipewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana...
Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea.
Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf...
eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo:
1-Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES)...
Arsenal imefanikiwa kuwa namba moja katika Premier League baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Brighton huku Aston Villa ambayo nayo imekuwa na msimu mzuri ikishika nafasi ya pili kwa kuifunga...
Naam! NALIA NGWENA mpenda football Tena mpira mzuri uliojaa talanta ndani yake hakika nimejikuta nawaza na kuwazua kuhusu hizi talanta mbili ambazo umri umeenda lakini ukiwatazama kwenye Pitch...
Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu
Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.