Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya...
Akizungumza katika mkutano wa 18 wa TFF rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Wallace Karia amesema wamepatiwa mfumo wa VAR Toka CAF ambao utafungwa uwanja wa Benjamin Mkapa.
Pia...
Nimeona watu humu jukwaani, na mitandao mengine kumlaumu kocha wa Yanga kutofanya rotation.
Mshabiki wa Yanga mwenye akili timamu hawezi kulilia kocha afanye rotation kwenye mechi ngumu tena ni...
Nimeamka tu nimekutana na hii kutoka mwananchi. Huyu ni dogo national team chini ya miaka 15, mashindano yamefanyika Uganda yameisha hivi karibuni. TFF wanadai wapo katika mchakato wa hundi. Vipi...
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.
Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na...
Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu.
Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha...
Kwa misimu miwili iliyopita imekuwa kawaida Simba kuboronga mwanzoni na katikati ya msimu, kila mchezaji anaanza kujituma usajili ukikaribia, hata msimu wa mwaka jana usajili unakaribia kina Bocco...
Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani.
Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda...
Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu.
Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi.
Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama...
Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.
Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al...
Rejea headline hapo juu,
Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya...
Kweli Bora upewe akili kuliko Mali, msemaji wa Misondo Fc ( Ahmedy Ally) amejisahaulisha kabisa Kama kuna mashabiki walitimuliwa na polisi na waengine walichezea makofi hadharani baada ya kuanza...
Kwa nilivyoona speech yake kwenye press ya jana ni asilimia 100 kuwa Ahmed Ally ni mwehu kabisa maana anaongea vitu vya kipumbavu kabisa.
Nina mashaka na elimu yake huenda hana elimu, ni chawa...
Ifike wakati tuheshimiane.
Hivi wewe mchambuzi uchawara unatoa wapi ujasiri wa kuilinganisha Yanga Utopolo na Simba Sc. Simba Sc ipo mbali sana Next Level.
Unawezaje kuilinganisha timu bingwa...
Klabu Ya Yanga SC imekamilisha usajili wa kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU.
Yanga SC imekamilisha Usajili wa Kiungo Huyo Fundi Kutoka Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu
Shekhan...
Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech.
Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi...
Ni ukweli usiopingika timu ya wananchi Yanga isipovuka hapa kwenye makundi ya club bingwa basi inakuwa imeshindwa kuvunja rekodi yake ya mwaka 1998, mtoto wa mwaka 98 hadi sasa kama wa kike basi...
Mwana Yanga SC Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na...
Uwanja wa Old Trafford umekuwa mchungu kwa wenyeji Manchester United baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 kutoka kwa Bournemouth katika Premier League.
Kipigo hicho ambacho ni cha 7 katika...
Kutokana falsafa yake wakati anaiongoza RS Berkane, USM Alger(Timu pekee nilizomfuatilia) nilikua na ukakasi wa mapokezi ya falsafa ya Benchikha kwa wanasimba. Lakini niweke wazi, Once facts...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.