Juzi katika mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa, mashabiki wa Yanga waling'oa viti na kuwarushia mashabiki waliokuwa wanaishangilia Al Ahly. Inteligensia yangu imeniambia kuwa mashabiki wa...
Muneria Wins Malaga Marathon in Spain as Kenyans Rule Road Races in Busy Weekend for Athletics
The 2016 Africa Cross Country bronze medalist Charles Muneria clocked a personal best of 2:08:54 to...
Wakuu sasa ni mwaka wa 3 kama sikosei ligi ya Tanzania kuwepo kwenye rank ya ligi bora Africa, lakini timu zetu zinakosea wapi?
Tukiweka ushabiki msimu uliopita Yanga walifika fainali ya...
Baada ya mechi ya Medeama vs Yanga kumekuwa na kelele nyingi kuhusu goli la clear offside la Kibabage, ila wengi walifumbia macho matukio kadhaa ambayo refa alimezea ambayo yangewapa faida...
Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga...
Uongozi wa Namungo Fc unapenda kumshukuru Kocha Denis Kitambi kwa muda wote aliotumikia Timu kwa ushirikiano mkubwa ndani ya Timu yetu.
Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi...
Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua Simba Queens kama washindi wa ngao ya jamii 2023!
Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo...
Wakuu ukweli usemwe hata kama ni mnazi wa club husika, Kwa usajili wa kocha Benchikha kuja Simba naona ni hasara au kutumia pesa vibaya japo in anyway sihusiki kumlipa
Hakika hii ni hasara kubwa...
Kwenye vilabu bora hayupo Bingwa wa Shirikisho ambaye ndo huyo huyo bingwa wa Super Cup Africa (USM Algiers).
Lakini kwenye makocha 3 bora kocha wao yupo.
Vigezo gani wameangalia hapo?
Sent...
Timu ya Singida Fountain Gate imefanikiwa kunasa usajili wa beki wa pembeni matata kutoka timu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kijana huyo ambae alikuwa...
Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Medeama, uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) KULALAMIKA uamuzi mbaya ulioonyeshwa na mwamuzi aliyechezesha mchezo...
Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside?
Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika?
Kwa maneno...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wake Gael Bigirimana.
Awali mchezaji...
Salaam Wana JF
Kama expert wa soka naona ni Bora Kwa timu ya Simba kuwekeza nguvu zote kwenye kombe la mapinduzi litakalofanyika January kuliko kuendelea kukupoteza muda kwenye champions, ambako...
Wydad Umepigaje Hapo?
Kipindi Cha Pili
Sub ya kuingia Chama,Phiri,Miqqusone na Mzamiru ilikuwa na maana hii
1.Kuongeza Kasi kwenye eneo la mwisho labuwanja(zone C)
2.Kuongeza ubunifu (Chama)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.