Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

NALIA NGWENA huwa sipendi kupepesa macho katika Jambo la ukweli. Yanga Sc inaviungo wengi wakabaji na ninadhani kwa pale Yanga ndiyo eneo lenye viungo wengi. Namba 6,8 Kuna Khalid Aucho, Sureboy...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa...
17 Reactions
142 Replies
11K Views
Ni ushauri tu kwa Wazee wenzangu, Boko, Chama, Saidoo na wengine. Ni heri kuuwahi wakati kabla wakati haujakuwahi. Embu igeni ya Onyango. Alipoona Mwili unaanza kukataa akaomba mwenyewe thank you...
3 Reactions
1 Replies
369 Views
Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa. Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia Hii mbinu anaitumia Mamelodi...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Your nominees for Club of the Year (MEN) award are here! #CAFAwards2023 ============ Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza Timu za Taifa, Vilabu na Wachezaji wanaowania tuzo hizo mwaka...
15 Reactions
329 Replies
15K Views
Skudu Makudubela, huyu jamaa alitangazwa kwa mbwembe kuliko wachezaji wote wapya waliosajiliwa Yanga msimu huu, bado ni majeruhi au hapati nafasi kazidiwa ubora? Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni siku ya Jana katika mechi ya Ankagurcu vs rizespor. Aliongeza mda mrefu na kusababisha wapinzani kusawazisha. Maamuzi yenye ukakasi na wanayolalamikiwa sana marefa huenda yakaleta madhara kama...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
[emoji3520]TANZIA[emoji3520] Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Haya kwa wale wapenzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya leo kwa upekee kabisa tunawaletea kitakachojiri live wakati wa mchezo huo. Mchezo huu wa mwisho kabisa wa hatua ya Makundi unabeba hisia nyingi za...
0 Reactions
8 Replies
759 Views
1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023 Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
After a Turkish Süper Lig match between Ankaragücü-Rizespor, referee Halil Umut Meler was punched in the face after the game. He was also repeatedly kicked whilst on the floor and sustained heavy...
0 Reactions
3 Replies
527 Views
Moja ya jambo kubwa ambalo Benchikha anaweza kuisaidia Simba na hilo jambo likaisaidia kwa miaka mingi ni kuwapa wachezaji ujanja wa mbinu za kisaikolojia ya jinsi ya kucheza na waarabu wenzake...
1 Reactions
8 Replies
696 Views
Habari wadau wa Sports, Pamoja na kuwa mimi ni miongoni mwa watu ambao ninamuona Bocco amezeeka na anawafanyia wenzake mabaya wasipangwe. Nashauri yafuatayo; 1. Bocco, Chama na Phiri waanze...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Juzi tu hapa Nkane , Mdathir , Sureboy , Farid Mussa , Moloko , Kibwana , Walikuwa ni wachezaji hatari sana hata kama walikuwa wanatokea Sub , ukianza kuhesabu magoal ya ushindi au perfomnce zao...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Huyu ni kocha wa ukweli, alikataa pongezi leo wakati anaulizwa swali na mwandishi wa habari, akamwambia no when you lose there is no congratulations, naamini angekuwa Gamondi angesema Thank you...
6 Reactions
5 Replies
632 Views
Ni kipa mzuri kwa sababu rekodi zake kule F A Rabat zinajulikana, naona amesifiwa sana tangu alipopangua penati vs Wydad, hata hivyo Ayoub licha ya uzuri wake golini lakini ana tatizo kubwa ambalo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika Kati ya Mamelodi Sundowns ya South Africa na Pyramids ya Egypt. Tunategemea Mchezo huu kuwa waushindani mkubwa kwani Timu zote kwenye hili Kundi zimeshinda...
4 Reactions
263 Replies
10K Views
Wasalaam wakuu, hili suala nimeshaliona na kulifuatilia kwa muda mrefu sana. Nilichogundua ni kwamba hizi timu ndogo za ligi kuu bara huwa zinacheza kwa kutegeana ili zitoke droo na ikitokea timu...
1 Reactions
8 Replies
419 Views
𝐓𝐎𝐅𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐌𝐁𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐔𝐔 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐙𝐎𝐙𝐈𝐎𝐍𝐀. [emoji2389]@yangasc ya NABI ilikuwa inachanganya zaidi kipindi cha Pili lakini Yanga ya GAMONDI ni Mwanzo mwisho. [emoji2390]Yanga ya NABI ilikuwa inawategemea...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom