𝗞𝗜𝗞𝗢𝗦𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 (𝗖𝗔𝗙)
Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings).
◎ 8.2 - Memmich (GK) ›› Petro Atl [emoji1029]
◎ 8.2 - Yao Kouassi ›› Yanga [emoji1241]
◎ 7.9 -...
Wakuu hii ni document kwenye website ya CAF imefafanua, hebu tuijadili hii sheria.
Wydad amebakiza mechi 2 akishinda zote anakuwa na points 9
Simba amebakiza mechi mbili, akishinda 1 na draw moja...
Sisi ni people.....tutaonana huu ni msemo anaoutafakari mwamba wa Lusaka [emoji23][emoji23]
Anajiuliza hii jeuri ya kunizingua kolos wameipata wapi....au wamena onana kabahatisha mechi na wydad...
Kuna vimaneno vimeanza kusambazwa na mbumbumbu kuanza kumfananisha Diarra na kipa wao Ayoubu Lakred!
Anayeweza kuwalinganisha wawili hao kwa sasa kwa maana ni Kama unalinganisha kichuguu na...
Wydad’s boss Said Naciri is reportedly involved in international drug trade and money laundering. [emoji102]
He’s currently picked up by the police being questioned.
More updates to come...
... [emoji599] | 𝗞𝗜𝗞𝗢𝗦𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 (𝗖𝗔𝗙)
Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings).
◎ 8.2 - Memmich (GK) ›› Petro Atl [emoji1029]
◎ 8.2 - Yao Kouassi ›› Yanga...
Haya serikali imetangaza kufunga viwanja vya Benjamin Mkapa na Uhuru mpaka Oktoba 2024 ili kuvikarabati
Simba na Yanga wanatamba kila upande kuwa ni timu kubwa Afrika mpaka Duniani lakini cha...
Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi.
Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi.
Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga!
Yanga wakimsajili ni...
Serikali imefungia uwanja wa Mkapa hadi Oktoba 24, ule wa Uhuru nao hivyo hivyo, sasa kws vile uwanja wa amani unazinduliwa trh 27 Disemba nawaomba pelekeni mechi zetu kule Zanzibar ili tumalize...
Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana.
Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika...
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.
Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyoo! Kocha Gamondi kaja na Falsafa yake lakini Falsafa yake ni sumu iliyokuja kubomoa/ kuharibu kikosi kipana kilichotengenezwa na Fundi wa mpira Prof Nabi.
Nabi alitengeneza kitu kinachoitwa...
Baada ya TFF kukifugia Kiwanja cha Uhuru Wizara pia imekifungia Kiwanja cha Mkapa
Kwa maoni yangu kinachotafutwa hapa ni kuhamishia Mechi katika dimba Amani Zanzibar ili kumfurahisha Rais Samia...
Za ndani huyu jamaa alidekezwa, kama kawaida yake akaendelea kuchelewa kwenye mazoezi, sasa juzi kayatatiba alidhani atanyenyekewa , kaenda mazoezini kachelewa halafu akamfokea kocha msaidizi...
Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.