Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024.
Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar...
Ubunifu bado mdogo sana, timu ina-struggle sana kutengeneza nafasi. Aidha, back passes ni nyingi mno. Kwa ushindani wa mwaka huu kwenye ligi, wafanye kazi ya ziada kumaliza nafasi ya tatu
[emoji599] EXCLUSIVE:
Peter Banda is close to joining KMC. [emoji1156][emoji92]
Singida still having issues concerning their ban by FIFA. Money has become difficult. [emoji3578]
Also told, some...
Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa...
Refa aliyechezesha mechi kati ya Simba na Singida alikuwa sahihi kwa asilimia mia.
Fifa ilitambulisha Sheria mpya kwenye mashindano ya world cup yaliyofanyika Qatar, Moja ya Sheria...
Kwa tunaopenda kusoma between the line, Gamond amenukuliwa akisema Yanga haina kikosi kipana, kwani amewahi kujaribu kufanya rotation na akaambulia kupoteza dhidi ya ihefu, alipojaribu kwenda na...
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu...
Yaan best final ever ya mlandege
Mwingine akamjibu zile dk mlizokuwa mkiongezewa kwa wenzenu leo wamezipunguza muwe wapole...Tuliwasubiria final
Shirikisho la znz lina akili sanaa baada ya kuona...
Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.
Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri...
Club ya Yanga imemtoa mshambiliaji wake Kwa mkopo kwenda coast union ya Tanga Hadi mwisho wa msimu
Hii itakuwa ndio kuagana mazima. Ngushi akijirekebisha makosa yake madogo madogo Bado ni...
Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu...
Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu).
Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs...
Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brand zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na...
Huyu ramadhani Mbwaduke ni moja kati ya wachambuzi waliojipatia sifa katika uchambuzi hasa eneo la takwimu.
Mchambuzi huyu ni mzuri lakini ana mapungufu makubwa mno, kwanza hataki kabisa...
Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
Kuelekea AFCON 2024.
Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast).
Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana.
Sisi Taifa Stars...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.