Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna taarifa kuwa Waziri Ndumbalo anakwenda nchini Ivory coast eti kuwapa hamasa taifa stars. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wana JF, Hivi karibuni nimejikuta nazishabikia timu za Simba na Yanga ambao ni mahasimu wakubwa zote kwa pamoja ambacho si kitu cha kawaida hasa kutokana na ushindani mkubwa wa hizi timu...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Hawa tbc 1 tv huwa wanawatoa wapi watangazi wa hizi mechi mbavu zinaweza vunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu mane wa azam sports hd na mane tbc mbona hawafanani? kwamba huku...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi! Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa...
23 Reactions
86 Replies
6K Views
Nani aliyewadanganya kuwa hawa Watajwa wote walirejea Tanzania Bara? Wameshirikiana sana Kiutamaduni. ,,.,,.....,,..... ..... .,,.. oni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Akandwanao Alikanda Unga wa Ngano Kila mtalii aliyekuja Zanzibar alikuwa na hamu ya kula chapati za maji na za kukanda kwasababu ya uwezo wa kijana Akandwanao kuyageuza maji na unga wa ngano kuwa...
1 Reactions
16 Replies
665 Views
Hakika PONGEZI za Dhati kabisa Ziwaendee Viongozi na Wachezaji wote wa SIMBA kukubali kufungwa na Mlandege ili kuendeleza FURAHA ya Wazanzibar kusheherekea SIKU ya MAPINDUZI . Kitendo cha...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Wachezaji 6 wa Singida akiwemo Joash Onyango, Duke Abuya, Marou Tchakei, Bruno, Rupia, abubakary Khomein wamejiunga Ihefu dirisha dogo linalofungwa kesho, hao ni wachezaji muhimu sana how possible...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Binafsi naona tatizo kubwa la simba lipo katika no 10 mtu ambaye atasimama nyuma ya striker,ambaye atamlisha stricker,mwenye uwezo wa kupiga penetration pass,kupunguza wachezaji wa timu pinzani,na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Match Day. Updates... Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza...
13 Reactions
1K Replies
101K Views
Mahmoud El-Gohary na Stephen Keshi ndio watu pekee ambao waliwahi kutwaa ubingwa wa AFCON wakiwa kama Wachezaji, pia kwakuwa kama Makocha. Mahmoud El-Gohary yeye alitwaa ubingwa kama mchezaji...
1 Reactions
1 Replies
489 Views
Msimu ulioisha kuliibuka mashindano ya ufungaji bora kati ya predator mayele na saido ntibazonkiza kiasi Kwamba Kuna vitu vilinishangaza _ Uwezo wa Saidoo kufunga goli 5 kwenye mechi Moja ndani...
5 Reactions
11 Replies
661 Views
Watanganyika nawasabahi.Majuzi kumefanyika HARAMBEE ya kukusanya Fedha kwa ajili ya Timu ya Taifa iliokwishaenda IVORY COAST kushiriki Michezo ya CAF. Katika HARAMBEE hiyo jumla ya Sh.Bil.3.7...
1 Reactions
10 Replies
930 Views
TAREHE 7/01/2024 " Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Huu ndio uzalendo tunaoutaka, Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa. Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake, Uzalendo mtupu.
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Uwanjani mpira unaendelea na iran kashamtafuna ndugu yake palestina goli 2-0 mpaka sasa. Iran alipaswa kuonesha uungwana kwa kuonesha fairness kwa ndugu zake hata ajifungishe tu goli ili wapate...
2 Reactions
3 Replies
427 Views
Mwenye picha ya video yake akitabainisha kuwa atakuwa huko na timu kwa mechi 2 dhidi ya Morocco na DRC na baadae kuweka nao kambi nchi ya jirani anaweza kutuwekea. ======= Makamu Mwenyekiti wa...
7 Reactions
57 Replies
20K Views
•••[emoji777]|CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO - Rais wa Shirikisho la Soka Barani Africa Dkt. Patrice Motsepe amesema inawezekana mashindano ya CAF Confederation (Kombe la Shirikisho)...
13 Reactions
109 Replies
24K Views
Habari zilizopo ni kua timu ya Singida inaachana na Wachezaji wake wa Kigeni.. Kunani Au Mwigulu akaitelekeza timu kwa mara nyingine?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Nawakumbusha tu Makolo a.k.a Madunduka ya kwamba jamaa aliyewafunga kamoja anaitwa Akandwanaho na yeye bila ajizi ameamua kuwakanda nao! Hivi...
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom