Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tunayoyaona ni Matokeo ya maandalizi mabovu. Timu haina bajeti, badala yake inabidi tufanye harambee Tena harambee yenyewe inafanyika tayari timu ipo Ivory Cost, sijajua hizo pesa zilikuwa za...
0 Reactions
1 Replies
442 Views
Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga...
1 Reactions
6 Replies
424 Views
Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars...
3 Reactions
13 Replies
734 Views
Nilishawahi kusema magolikipa wetu wana vitu vingi sana vya kujifunza kwa @djiguidiarraofficial kutoka na aina yake ya kudaka,moja kitu ambacho kinawasumbua magolikipa wetu wa nyumbani ni "FOOT...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Inasikitisha sana Kwa kweli Kwa mashabiki wengi wa timu kubwa nchini,hususan mashabiki wa Simba na Yanga. Mashabiki Hawa wamekua hawana shukurani kabisa kwa wa chezaji waliopungua uwezowao,Mfano...
4 Reactions
7 Replies
579 Views
•Jimmyson Mwanuke —Simba [emoji654] Mtibwa Sugar •Erick Mwijage—West Armenia [emoji654] Geita Gold •Erick Johora—Geita Gold [emoji654] Mashujaa •Mapinduzi Balama—Coastal Union [emoji654] Mashujaa...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Heri ya mwaka mpya. Hope mko poa na mapambano yanaendelea. Mungu ni mwema. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni nilisoma taarifa mitandaoni inayosema kocha wa Taifa Stars Adel...
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON. Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Staa wa soka Karim Benzema amefungua mashtaka ya jina lake kudhalilishwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gérald Darmanin ambaye alimtuhumu kuwa na uhusiano na Kundi la Muslim...
1 Reactions
4 Replies
994 Views
kwa kweli Hawa jamaa wanatakiwa Leo kuuwawa!
1 Reactions
7 Replies
838 Views
1. Ukabaji wa kasi Namibia kila muda wakiwa hawana mpira hawakuwapa nafasi Tunisia kucheza watakavyo bali walihakikisha wanakaba kitimu na kuwanyima uhuru Tunisia kutengeneza mashambulizi makini...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly...
5 Reactions
8 Replies
585 Views
Jamaa analijua goli sio masihara, anafunga mabao katika mazingira magumu sana huyu Mgambia, ana nguvu, mrefu ana mashuti na kasi ya ngiri, shida yangu ni kuwa kwa vile timu yetu imekosa kitengo...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwa haraka nimesikia analalmikiwa Shafih Dauda kwa kuongea na mchezaji ili awe wakala wake wakati mchezaji tayari ana management yake inayomsimamia Namuona Kitenge wa Wasafi fm akichochea kuni...
2 Reactions
49 Replies
21K Views
Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu. Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua...
7 Reactions
39 Replies
20K Views
Yaani nchi ndogo zimewaonesha wanaojiona miamba ya soka Afrika kuwa hakuna mwamba wa milele wote ni wachumba tu mbele ya underdog (team ndogo zisizo maarufu au kuonekana na uwezo wa soka). Timu...
4 Reactions
14 Replies
658 Views
Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Nishasema Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega!. Kiukweli ndugu zangu tangu mods wanaiondoe kwenye jukwaa la michezo toka Simba alipokula...
0 Reactions
13 Replies
709 Views
Back
Top Bottom