Salaam
Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee...
Hakuna timu ya taifa ya Tanzania iitwayo watoto wa mama wa Kizimkazi iliyoko mashindanoni AFCON bali tuna timu ya taifa iitwayo Taifa Stars tu sawa?
Hovyo kabisa.......!!
Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.
Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji...
Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa...
Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga.
Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives...
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo...
Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale.
Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza.
Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote...
Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.
Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia...
Habari za leo wadau,
Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast.
Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu...
Leo hii imedhihirika katika mechi na Zambia.
Pamoja na timu ya zambia kuonekana kupoteza matumaini kwa kucheza pungufu na kadi kibao za njano lakini wapi bwana!!!....bado kichwa cha mwendawazimu...
Tutakapoacha sifa kwenye vyombo vya habari, tukiacha kujimwambafai tutaanza kufanikiwa Afcon.
Mfano Kuna chombo kimetuambia Uganda, Kenya, Sudan wamecheza Afcon mara ngapi? La hasha tunawabeza...
Siku zote nimekua nikisistiza kwamba mpira ni mchezo wa plan ila naona wachezaji wa Tanzania wanakaza fuvu hawataki kunielewa japo wananifatilia sana pia chambuzi zangu.
Baada ya Zambia kupata...
Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii...
Mpira unaanza na uwezo wa akili kufanya maamuzi. Mpira unatokana na skills na creativity. Watu wote wenye vipaji wanafaulu katika eneo lao la specialization.
Mafundi simu simu wengi siyo wale...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco
Adhabu hiyo ulitolewa jana na...
Hakika Ni ukweli usiopingika kuwa Wizara inapaswa KUWAOMBA RADHI watanzania kwa Matokeo ya AIBU ya TAIFA STARS kufungwa BAO 3-0 na MOROCCO Leo.Watanzania walijitoa kwa hali na Mali na Kuchangia...
Hana aibu eti tunajivunia kuwa na Simba WhatsApp channel na tubaongoza Africa mashariki na Kati, pia wenzetu walikuwa wanaongoza Youtube ila sasa tumewapita.
Ukimcompare na Senzo na Babra huyu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.