Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu...
"Singida Fountain Gate FC tumeamua kuweka Kambi yetu hapa Fountain Gate Stadium ambayo zamani ilikuwa ni Gwambina ila kujiandaa na Mechi yetu ijayo huku huku Kanda ya Ziwa" amesema Msemaji wa...
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90.
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na...
Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike...
Kocha mkuu wa Taifa Stars aliyesimamishwa na CAF aliwajuaje wale wachezaji wote wa Tanzania wanaocheza nje? Miaka yote walikuwa wanaitwa wachezaji tunaowafahamu wanaocheza Ulaya nadhani hata...
Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu
1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar
2. Beki...
Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala.
Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu.
Mimi naanza...
Habari za muda wadau wote wa michezo.
Baada ya timu ya taifa ya Tanzania maarufu kama taifa stars kutolewa katima michuano ya Afcon inayoendelea kufanyika nchini Ivory Coast mnamo siku ya jana...
Inasikitisha Sana kuona nchi iliyo vitani inaingia 16 Bora na Sisi wenye amani tele tumetupwa Nje Hata kama Michuano ni tofauti lakini hadhi yake inafanana.
Mlale Unono 😂
Naangalia hapa mapambano ya ngumi yanayoendelea lakini maamuzi ya marefa yanaharibu mchezo.
Pambano la Richard na Julius Indongo, mwamuzi kamaliza mchezo prematurely, ili kumpa ushindi Mtanzania...
Timu ya wabunge na watumishi wa bunge ambao ni mashabiki wa Yanga wameibuka kidedea mbele ya watani zao wa jadi katika Bunge Bonanza lililofanyika Dodoma. Dakika 90 za mchezo zilimalizika kwa sare...
Kwa wale wafuatiliaji wa AFCON watakuwa wanajua tukio lililotokea katika mechi ya Morocco vs DRC na gumzo ambalo limekuwa linaendelea kuhusu vurugu zilizofuata.
Mengi yanasemwa nini kilitokea ila...
Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda...
Jaman yoyte anae jua maan ya mchambuzi wa maswala ya soccer ebu afafanue maan hizi people zinazojiita wachambuzi sioni kama wanachambua ila ni mashabiki wanaozungumzia mpira
Katika pitapita zangu huku mitandaoni, nimekutana na comment zaidi ya moja ya watu wanaosifia kit ya jezi za Tanzania zilizotumika huko AFCON na nilipofuatilia inaonyesha watu hao siyo Watanzania...
Baada ya Tanzania kushika nafasi ya mwisho katika Kundi F na kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataofa ya Afrika (AFCON2023), ratiba ya Hatua ya 16 imejulikana.
Timu ambazo zimeingia hatua...
Chamazi (Azam Complex) si tu Umesharogewa bali umefanyiwa Kufuru mbaya za Kishirikina na Timu fulani fulani kwa ruhusa wa Boss Mkuu wa Timu yenye Umiliki wa huo Uwanja ambaye nae kwa 100% ni...
Msimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba...
Manula, Mohammed Hussein wameiangusha timu ya Taifa jana, Mohammed Hussein jana alikuwa ni UCHOCHORO wa Morocco, makosa ya Manula ya kutoona vema yameigharimu timu.
Hata jana sababu ya DRC kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.