Ukweli uwekwe wazi tu kuwa uwepo wa Inonga kwenye ligi yetu ya NBC premier League kunaipa heshima sana ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mchezaji wa ligi yetu kucheza nusu fainali ya Afcon toka...
Jitahidini mumtumie haraka sana Mchovu Mmoja aliyepigwa Bao Mbili za maana Usiku huu ili aiwahi Mechi yenu na Omba Omba FC tarehe 5 Februari, 2024 kwani walioko hawaaminiki nanyi na mkifanya...
Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika.
Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza.
Labda nite maelezo mafupi...
Kuliko mataifa mengine yote cape Verde itapokea watalii wengi sana kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wataenda kuyaona Yale maua live.
Japo wengi wanawapongeza wa SA kwa ushindi ila wengi...
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba...
Hakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja...
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema ameshangazwa na uamuzi wa kocha wa klabu ya Liverpool ya Uingereza Urgen Klopp kuamua kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu.
Klopp amesema...
Klabu ya Simba ya jijini Dar imeamua kutafuta wachezaji watakaoisaidia timu hiyo katika kusaka mataji katika msimu wa 2024/25.
Simba imeweka watu maalum ili kutafuta wachezaji wanaofanya vizuri...
Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali...
Niwatahadharishe kwamba,kile mnachokikimbia Dar,tayari wahuni wapo Pemba wakitafuta kuzindika uwanja wa Amaan ili msikwepe dhahama yoyote.
Wapo wameanza kutoa misaada huko Pemba.Ni bora mpambane...
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.
ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.
Tanzania sijaona...
Kuna wakati huwa najaribu kwenda chimbo tofauti, ukiacha na zile zenye hadhi ya vibanda umiza ili kucheki mechi, moja ya jambo lililonishinda ni kuangalia mpira bila sauti ya mtangazaji na...
Kiungo mkongwe, Marouane Fellaini (Mkubwa Fella) amestaafu soka la ushindi akiwa na miaka 36.
Fellaini ambaye ni Mbelgiji amewahi kukipiga vilabu kadhaa ikiwemo Everton na Man Utd kabla kutimkia...
Wakuu,
Kwanza poleni na majukumu yenu ya kila siku, nipo nasikiliza hapa michezo hapa EA radio, kupitia kipindi Cha michezo kinachoanza kuanzia saa moja usiku huu.
Katikati ya kipindi Kuna...
Nimegundua watanzania wengi hawajui mpira..
REJEA MECHI YA TAR.2/FEB KAGERA vs YANGA.
hivi kwa akili ya kawaida lile linawezekana vipi kuwa goli?..au hizo camera za azam zinazochelewesha matukio...
Embu vuta picha timu zote zilizo pita 16 Bora wote Ni ma machemba na Kam IPO timu isiyo na machemba Basi Ni South Africa ila wote walio pita ni timu zenye machemba na vijna walio Shiba mihili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.