Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga. Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
[emoji617]MATCH DAY[emoji617] [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Young Africans SC Vs Mashujaa FC [emoji414] 08.02.2024 [emoji909] Azam Complex [emoji797] 1:00 Usiku Kikosi cha Yanga leo...
4 Reactions
376 Replies
21K Views
FIFA wanapanga kufanya majaribio ya kadi ya bluu kwenye soka ambapo mchezaji atakayeoneshwa kadi hiyo atatolewa uwanjani na kukaa nje muda wa dakika 10. kadi ya bluu itatolewa kwa mcheza...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza kabla ya yanga sc imemtegenezea mchezaji wake mask huku wakitumia materials za mabox na sruu. Haki hii imewapelekea wadau mbalimbali wa michezo nchini kushikwa na butwaa.😁😁😁
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hapa nazungumzia mpira wa miguu, siku hadi siku Imani za kishirikina zinazidi kushika kasi kwenye michezo mbalimbali ya ligi kuu ya NBC, Kwa sisi wapenzi wa mpira hatuvutiwi na matukio hayo...
1 Reactions
4 Replies
545 Views
Nimewaza tu nje ya boksi. Kwamba yawezekana Yanga ndiyo wachawi kupitia taulo la kipa wa timu pinzani. Kwanini tunaona zile taulo zimebeba uchawi? Kwanini hatuwazi kwamba Yanga ndiyo wanaenda...
4 Reactions
16 Replies
880 Views
Huku game dhidi ya Mashujaa ikiwa ngumu, amewatoa Aucho na Pacome waliokuwa wanaichezesha vyema timu. Baada ya hapo game ikawa ngumu sana na timu pinzani wakaanza kuja bila woga. Nadhani hajajua...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Ukiachana na ile ya kuchoma moto kule Afrika kusini ambao ulikuwa ni upuuzi lakini sijawahi kuona wachezaji wa Simba wakitoa taulo au kufukua kwenye lango la mpinzani hata waattempt mara 30 bila...
1 Reactions
4 Replies
605 Views
MZEE TUTUME MACHAWA TUKADAI [emoji108][emoji2957][emoji3] "Mwaka 1994 Simba tulifanya vibaya kimataifa Yanga wakafanya vyema, Yanga hawakuwa na pesa yakucheza mechi ifuatayo, kiongozi wao...
2 Reactions
10 Replies
935 Views
Hawa ni wababe ambao mwishoni mwa miaka ya 90 waliitikisa dunia katika ndondi. Moja ya pambano la kukumbukwa ni mmoja wao kung’atwa sikio. Kwasasa wamezeeka ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
18 Reactions
52 Replies
4K Views
Salam wananchi, natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa la mama kizimkazi. Naomba kusema kitu japokua roho na nafsi vinauma. Viongozi wa team yetu pendwa ya Young African...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
tumezindua ofisi yetu ya hadhi na yenye vifaa vyote vya kisasa,vya kufanyia kazi.hii ndio maana ya kauli ya tumewaacha mbali sana.hivi karibuni tunazindua ujenzi wa uwanja wa yanga...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
0 Reactions
6 Replies
670 Views
GENTAMYCINE naipenda sana Simba SC yangu na napenda sana Kuwacharura Yanga SC hapa JamiiForums kama sehemu yetu ya Utani wa Jadi ila hakuna Kitu nachukia kama Uwongo na Propaganda za Kitoto...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mpira ungekua ni uchawi Basi Nigeria wangechukua kombe la dunia, Yanga sc wasingechukua point tatu muhimu mbele ya Rivers United Tena kwenye uwanja wao. Mpira ungekua ni uchawi Basi Simba sc...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Mashindano ya Afcon yanaelekea ukingoni ambapo fainali zitapigwa Jumapili tarehe 11/2. Hakika mashindano ya mwaka huu 2023/2024 yamekuwa ya kusisimua sana. Jambo ambalo nataka kuziuliza timu zetu...
0 Reactions
3 Replies
462 Views
Pale Yanga kwa sasa tuna huyu mtu Guede a.k.a sukari ya magendo sikujui anasubiri nini kufunga magoli, hapa naiona thank you guede mapema kabisa.
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom