Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wana simba wao wameamua kunyamaza na kuto kuhoji chochte atakachokifanya tajiri. Wao wana amini tatizo la simba ni kina mangungu. Simba wamezindua jezi za kimataifa lkn jezi hizo zina matangazo...
5 Reactions
15 Replies
967 Views
Kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns,Al Ahly ambaye kwa sasa anafundisha klabu ya Al-Wehda ya United Arab Emirates Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini,amesema sio kwamba makocha wa Afrika hawana...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya...
3 Reactions
10 Replies
622 Views
"Mabegi yetu yamechelewa kufika, tunahisi ni Hujuma na tumeshindwa kufanya Mazoezi na kuna Baridi Kali sana" amesema Kiongozi wa Yanga SC aliyeambatana na Timu huko nchini Algeria wanakocheza leo...
1 Reactions
9 Replies
609 Views
Mpira ilikuwa sehemu hamna siasa ila wanaanza siasa. Mechi ijayo nashabikia Zambia Sent using Jamii Forums mobile app
16 Reactions
29 Replies
2K Views
Mbunge wa Ghana, Isaac Adongo ambaye alifananisha uongozi wa Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Mahamudu Bawumia kuwa umeyumba kama kiwango kibovu kinachooneshwa na beki wa Manchester United, Harry...
1 Reactions
3 Replies
924 Views
Muda mfupi baada ya kutangazwa kwa uamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kuifungua Simba SC kusajili mpaka itakapolipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu Mchezaji...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Hii list ya Jana ya wachezaji ... kocha alipangiwa na nani? Yaani unaacha mastaa wako nje?"[emoji47][emoji47]..... Shafii Msuva sub Samata sub Job sub ....kukamilisha ukuta wa yericko...
10 Reactions
166 Replies
7K Views
Huyu kiungo nondo wa Taifa stars na Azam. Hakika anakosa watu wa kucheza Nao tu pale Taifa stars ila ni kiungo mmoja mzuri na mkatili sana. Sifa zitazomfanya awe CAPTAIN national team ni uwezo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
SIKU moja tu tangu Kamati ya Kusimamia na Kuendesha Ligi ya Bodi ya Ligi (TPLB) kutangaza kumfungia kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kwa mechi tatu na kumlima faini ya Tsh 500,000 kwa kosa la utovu...
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Tunapoelekea katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Asec mimosa tunaona nguvu nyingi inavyotumika kuhamasisha mashabiki huku mashabiki wakiwa hawana morali kabisa ya kwenda uwanjani...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri. Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA...
18 Reactions
61 Replies
4K Views
Tangu Simba achapike bila huruma mnamo tarehe 5 November 2023, kumekuwa na kuheshimiana miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Yale matusi yasiyo na sababu pamoja na posts za kukebehiana...
35 Reactions
156 Replies
5K Views
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors...
17 Reactions
41 Replies
3K Views
Wale wenzetu wao wanatupia viwalo ili tu kustiri maungo yao. Ila huku kwetu tunatupia ili kuvaa Tumewapiga uwanjani na tumewapiga mtaani Ule uzi wa Yanga unaweza ombea kura za urais wa JMT na...
11 Reactions
61 Replies
6K Views
Hawa machawa wanaotaka watu waende uwanjani wakaaibishwe tena,ndio wanawapa kiburi viongozi. Hawa viongozi wanashindwa kusajili na kufanya usajili wa kisiasa huku wakiungwa mkono na machawa na...
3 Reactions
11 Replies
547 Views
Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa...
11 Reactions
57 Replies
4K Views
Yanga yapata shavu kwa TANAPA kuwa mdhamini wa mashindano ya kimataifa. Baada jezi zao kuonekana kwa maandishi ya " TANZANIA ROYAL TOURS
10 Reactions
41 Replies
5K Views
Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu. Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012. Akaongoza mamelod 2012-2020. Viongozi hawana huruma na Ela za Mo...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom