Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huwezi pata jezi nzuri kwenye rangi nyekundu na nyeupe,ukijitahidi kuzichanganya zote mbili utapata vazi la mganga, unajua rangi za yanga nzuri sana,kwanza zinaonyesha vitu vilivyopo duniani, uoto...
5 Reactions
7 Replies
660 Views
TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji. Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca...
5 Reactions
95 Replies
5K Views
Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee...
25 Reactions
81 Replies
13K Views
1. Ghana vs Uruguay World cup 2010 south africa, suarez alinawa mpira makusudi uliokuwa ukizama kambani . ikatengwa penati na Asamoah Gyan akaenda kukosa nakumbuka braza angu alilia sana coz ile...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM. Hivi karibuni TFF imeingia mkataba...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Nchi hii ilipotoka kwenye michezo kila mmoja anajua kama mtu wa michezo na kama anafuatilia michezo. Tulikuwa tuna changamoto nyingi Sana Katika michezo viwanja ,usafiri na miundombinu kwa...
0 Reactions
8 Replies
390 Views
Wanasimba viongozi hawaitakii mafanikio timu yetu hivyo ni Bora kuajiri KOCHA MZAWA na tuachane na Jao wanaotaka kumleta mbrazili Fernando Cruz. Haina haja kuleta makocha ambao hatuwaamini...
0 Reactions
7 Replies
645 Views
Wakuu, Nimekutana na video ikionesha Timu ya Taifa inainga uwanjani kwaajili ya mchezo wake na Morocco, wakitumia basi ya Super Feo. Namnukuu Msigwa kama alivyoandika kwenye ukurasa wake...
2 Reactions
2 Replies
642 Views
Tuweke siasa pembeni, Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa. Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Mageuzi ya kweli kwenye jambo lolote huwa yanahitaji kufanya maamuzi magumu. Wakati mwingine maamuzi hayo yanaweza kushtua watu, yanaweza kuogopesha wengine, yanaweza kukatisha tamaa kwa baadhi na...
1 Reactions
4 Replies
762 Views
Kila vijiwe watu wanachekelea tu Ziech ziech. Huu upuuzi umefanya stars kuchukiwa.👇
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania ya mchezo wa Pooltable imefuzu kombe la Dunia la mchezo huo baada kumaliza nafasi ya pili kwenye Mashindano ya All African Pool Black Ball Championship yaliyofanyika...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kulalamika imekuwa tabia yetu watanzania, jana Stars ilicheza vzr sana, hasa Haji Mnoga, huyu kijana wakati anakuja awali akicheza beki ya kulia hatukuwa tukimwelewa kabisa lkn ss hv yuko timamu...
1 Reactions
19 Replies
935 Views
𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa...
9 Reactions
769 Replies
46K Views
Mwaka 2005, Didier Drogba alimaliza vita ya miaka 5 ya wenyewe kwa wenyewe kwao Ivory Coast [emoji1081] alipofunga goli lililosaidia Ivory Coast kuifunga Madagascar. [emoji1155] Aliomba mchezo...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Back
Top Bottom