Huko Simba mambo bado, juu ya ile ishu ya mabadiliko ya klabu hiyo ili iendeshwe kwa mfumo wa hisa ambao mchakato wake ulianza tangu mwaka 2017 umekwama ikielezwa tatizo likiwa ni katiba ya klabu...
1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani...
[emoji830]︎[emoji830]︎[emoji830]︎[emoji981]|𝗦𝗛𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗪𝗜
[emoji860]“Sifikirii Kufanya Kazi na Klabu Nyengine, Nimeamua Hilo Kwasababu Naheshimu Rizki Yangu Ndani ya Yanga.”
[emoji860]“Tayari...
Simba wamefanya jaribio zito la kutaka kumng’oa juu kwa juu kiungo wa Yanga Mkongomani, Maxi Nzengeli ambaye alipiga mabao mawili dhidi ya Simba kwenye ushindi wa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi...
Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo.
Kuelekea African Football League...
Huwa naona wachezaji mpira wakisali kabla ya kuanza kucheza, pia katika nchi kama yetu huwa nasikia wadau, viongozi wa serikali, timu na mpira kwa ujumla wakihamasisha raia waiombee timu ya taifa...
Suala la kufungiwa na Fifa kufanya usajili kwa kukiuka mkataba wa kuuza aliyekuwa mchezaji wa Simba ni tatizo la CEO kutojua majukumu yake kwani alipaswa kutekeleza hilo ambapo ndo mojawapo ya...
Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu
Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani...
Raja imepigwa ban kusajili hadi itakapowalipa ile timu ya Pape Sakho iliyoshinda kesi dhidi ya timu moja ambayo imeshusha kiingilio hadi 3000 baada ya kuona washabiki hawanunui tiketi na uwanja...
Viongozi wa klabu ya Simba mbona mnajidhalilisha kwa kusema uongo mkiongozwa na mtendaji mkuu (CEO), Pamoja na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally.
Mliutangazia umma na mashabiki wa Simba...
Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa.
Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa.
Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi...
Habari wana jamvi wenzangu.
Bila kupoteza muda, lengo kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kujua ni vyuo gani mashuhuri kwa kutoa kozi za ukocha hapa Tanzania. Wajuzi mpo, naomba kujua.
Nawasilisha.
Klabu ya Simba leo Jumapili March 20, 2022 inashuka kwenye Dimba la Stade de L'amitie General Nchini Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano hatua ya makundi...
FARHAN: SIMBA WAMETUPIGA.
Labda CEO atusaidie kidogo majibu ni kwamba hakuna Mdhamini mwingine wa kuweka hela ama? MO XTRA zipo mara mbili, juu kulia na moja kubwa mbele kifuani, kabisa hakuna...
Kuelekea mechi ya kesho ya Caf CL kati ya CR Belouizdad na Yanga, kimya kingi kimetanda. Tunaomba mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au wazuri. Hiki kimya cha Mashabiki wa 5G FC na wachambuzi...
Bado tuna maumivu makubwa ya kufungwa 5-1 hivyo hamu ya kwenda uwanjani kiuhalisia haipo hata Kama mtazunguka dar nzima.
Wachezaji hawatupi matumaini ya kushinda kwani hawajitumi utadhani...
ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi
meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie...
"sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi...
Klabu ya ligi Kuu ya NBC YA Simba imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho.
Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.