Sio leo wala jana kila Yanga wanapocheza na mtani wake wanapita mlango usio rasmi, na wanajua adhabu yake, ina maana kuwa kuna watu uwanja wa mkapa wana mawasiliano na uongozi wa yanga kuhusu...
Mpaka Sasa ndani ya uongozi wa Simba haifahamiki Nani wa kulaumiwa katika suala la usajili.
Head of scouting au wazee wa ten percent? Walioiba chezaji la CAF(Fabrice Ngoma) pale airport...
Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira
Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia...
Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Simba SC, Ismaël Sawadogo amesema anaelekea Shirikisho la Soka Dunia FIFA kwa ajili ya kuishitaki klabu ya Simba SC kwa kutomlipa stahiki zake.
Klabu ya Simba...
Huyu kipa ijapo hajafungwa lakini anaonekana hana kabisa character ya ukipa.
Anadaka kama kipa wa timu ya veterans
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tamko alilolitamka Try again kuwa "Rais wa FIFA aliniambia kuwa Simba sc imecheza mpira mzuri kuliko Mamelod sondowns"
Kwa akili ya kawaida unaweza usimuelewe lakini ukifikiri kiundani kabisa...
Rekodi imeandikwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es salaam leo tarehe 5 Nov 2023,timu Bora barani Afrika, Yanga imeifunga timu bora ya Simba magoli 5-1, katika mchezo ulioonyesha...
Watu wa ball wataniekewa lakini watu wa hisia na utimu ndani yake watakuja kurusha mawe na matusi bila hoja ya msingi.
Kutokana na tambo za mashabiki na wasemaji wa timu ya Simba SC wakijinadi...
Mpaka Sasa naona ujio wa mawinga tu japo Kuna hadithi za Fabrice Ngoma.
Kwa Sasa namba sita na nane unachezwa na Sadio kanuti na Mzamiru Yasini, tukizungumza kimpira Sadio bado hajakidhi viwango...
Wanalunyasi,
Ni vizuri kuambiana ukweli wengine msije kufa kwa pressure game na Asec. Timu yetu mpaka sasa haina kocha mkuu wala kocha wa fitness.
Timu inafanya mazoezi na waalimu ambao kwa...
Believe in me or not, Engineer Hersi is very very serious, amefanya utafiti wao wana nn na sisi tuna nini, kijana mdogo lkn ana mambo mazito, kufungwa yanga Leo sioni.
Na Leo yanga akishinda...
Naweza kusema kwenye mpira uwa Kuna siku mbaya kazini Kila kitu kinaweza kwenda tofauti na mipangilio ya siku zote, na Jana yanga walikuwa na siku mbaya kazini!
Timu ili icheze vizuri inatakiwa...
1. Yanga wamecheza mchezo mzuri sana lakini mpira ni matokeo
2.Ligi Kuu ya soka hapa bongo ilimpa kiburi Gamondi na kujiona kuwa anaweza kumvamia yeyote hapa duniani, hakujua kuwa ligi yetu ni...
Bado kuna utata kuhusu kilichomsibu aliyekuwa beki wa klabu ya soka ya Simba Sports Club marehemu Hussein Tindwa aliyefariki dunia walipokuwa wakicheza na timu ya Racca Rovers ya Nigeria.
Hiyo...
Habari wakuu,
Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5.
Sasa ni...
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa baada ya kubaini Kuna wachezaji walihujumu timu siku tuliyopigwa 5-1
Hii imesababisha mashabiki tumate tamaa na tusiwe na Shaka yeyote kuwa viongozi tulionao ni...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba na Yanga, kuanzia kwenye slogans, fighting spirit, scouting, management na kila kitu.
Kwetu sisi Azam tuna mengi ya kujufunza kutoka kwenye timu hizi kubwa.
Msijifanye hamjaona walichokifanya AZAM uko chamanzi aisee Mimi nmeshangaa mbona alikuwa anaanzia bechi
Kwakweli Azam wamejipata team ambazo hazijacheza na AZAM mjipange sana KIPRE JUNIOR aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.