Habari wapenda soka wenzangu, naam nianze kwa kusema Mpira wetu kivyetu vyetu, ndio naweza kusema hivo.
Jana Simba amecheza Match ya CAF Champions League walichokiona Viongozi na wapenda Mpira ni...
Siku moja nikiwa naangalia Soka pale Gentlemen Sports Lounge (Sinza) huku najipongeza kidogo baada ya mihangaiko ya hapa na pale, nilimsikia jamaa mmoja meza ya pembeni akisema "Hii siyo Simba...
ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad...
Jambo Afande.
Heshima yako mkuu Kama nilivyotanguliza salam hakika unastahili pongezi za dhati kabisa katika utendaji wako wa kazi hakuna atakayebisha kwa Hilo na hata Kama akitokea wa kubisha...
Mpira unachezwa kichwani kwa mchezaji. Matokeo mabaya uwanjani yanaanzia kichwani na yanarudi na kuishi kichwani kwa mchezaji. Wachezaji hawana kazi nyingine, kazi Yao ni mpira TU na Wana malengo...
Habari.
Jumamosi Novemba 25 pale Benjamin Mkapa stadiamu itapigwa mechi kati ya Simba vs Asec.
Iwapo Simba watapoteza mechi hii, basi msimu huu mambo yatakua yameharibika na kuisha kabisa...
Ukiangalia gemu ya jana Yanga anakula vyuma vitatu dhidi ya waAlgeria ni kama Jana Yanga walijisahau wakahisi wanacheza na Pamba ya Mwanza au Lipuli ya Iringa na kusahau wale ni professional...
Sioni Benchika akitoboa pale Simba SC.
Jamaa hana mpira mzuri wa kuvutia, Alipokuja Dar ma USM Alger alizidiwa possession na pia second leg tena wakiwa na home advantage wakazidiwa possession na...
Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote .
Mabondia hawa...
Leo baada ya mechi uwanjani Simba waliamua kupandisha wachezaji kwenye magari madogo kama Alphad na Noah ili wasijulikane baada ya kuona usalama ni mdogo nje ya uwanja.
Hata walipotoka walikuta...
Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0?
Team GENTAMYCINE...
1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.
Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania...
Ujio wa kocha mpya utawafanya wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza wapambane kufa na kupona Ili kujihakikishia nafasi kwenye kikosi Cha kwanza Cha kocha mpya.
Matokeo yatakua ni 3-0 au 3-1.
Huu mfumo wa 4:2:3:1 ni mfumo mbovu kwenye mashindano ya kimataifa yenye waamuzi wazuri na teknolojia ya VAR, Huo mfumo huzalisha offside nyingi pia unaruhusu mashambulizi ya pembeni, huu mfumo...
Baada ya kuutuzama kiufundi mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa Africa baina ya yangu Yanga sc dhidi ya CR Belouizdad ya nchini Algeria nafikiri uongozi wa Yanga sc unapaswa kuzinduka haraka ikiwa...
24 November 2023
Vancouver, Canada
Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Cyprian Kachwele umri miaka 18 amesainiwa katika klabu ya Vancouver Whitecaps FC
Taarifa ya klabu hiyo ya Canada inayoshiriki...
Kuna maswali huwa najiuliza hivi inakuwaje timu zetu zinakuwa na magolikipa mapazia halafu wanachaguliwa timu za Taifa na kudaka mechi za umuhimu
Manula na Metacha hawawezi kutulia golini na wala...
Karibu kocha mpya wa simba na nakutakia mafanikio katika safari yako ya kuja kulibadilisha soka la simba kutoka kuwa soka la konokono (polepole) na kwenda kucheza mpira wa kisasa wa kasi kubwa...
Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi.
Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.