Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa...
Wakuu nimeona nianzishe huu uzi uwe kama kijiwe chetu cha kujadili na kushauriana mambo mbalimbali kama familia ya riadha. Mwenye maoni, kero, dukuduku na jambo lolote la riadha tutatumia huu uzi...
Wanalunyasi,
Hali ya timu haihitaji maelezo mengi, ni tatizo lililojikita zaidi kwenye management kuliko level ya technical team na wachezaji. Sasa nawashauri na najua mtasoma hapa.
1) Wanachama...
Simba ya sasa inaongozwa na wahuni ambao wanatumia mtindo wa chama cha siasa kuendelea kubaki madarakani.
Kwanza wametugawa ili watutawale.Baadhi ya wanachama na viongozi hasa wa Dar wanahongwa...
Team kutoka Kaskazini mwa Africa. Zimekuwa zikifika uhuni mwingi ili kupata matokeo changa kwenye michezo yao. Uhuni huo sio uungwana kwenye football. Lakini utashangaa jinsi CAF wanavyokaa kimya...
Kipindi ZORAN MAKI anakataa karibia timu nzima mlimuona Kama kocha ndezi, mwoga, Hana maono nk .
Kwa uelewa wangu mdogo wa mpira najua timu kubwa na Bora Yoyote duniani msingi wao wa kufikia...
Dar imeathirika na uchawa.Kila mtu chawa.Hata mashabiki wa Simba wa Dar wengi ni machawa wa viongozi wa Simba.
Hawa ndio waliotuchagulia hawa viongozi.
Hawa leo wanalalamika nini eti hakuna...
Heshima yenu wadau.
Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo...
Hilo ndio ninaloweza kusema. Tatizo hata kocha mpya haitosaidia kama itaendelea kuwa na njemba hizi hizi
Ukweli wachezaji wamechoka , hata wao hawajui tena nini cha kufanya . Wame offer all that...
Heshima yenu wadau.
Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo...
Ikicheza mechi ya kwanza tangu ilipokatwa pointi 10 kutokana na kukiuka kanuni za Fedha katika Premier League, Everton imeendelea kuwa na wakati mbaya kwa kuchapika magoli 3-0 kutoka kwa...
Wakuu habari,
Nasema hivi Kocha Benchika ni Mzuri,Hilo halina Ubishi,Ila wakiwchwa hawa kina Matola ndio wawe makicha wasaidizi hakuna kitu kizuri atafanya Benchika nawaambia,
Uwezo wa Kina...
Jana Wydad kakalishwa bao 1 nyumbani na Gwaneng Galaxy, viongozi na vyombo vya habari wamelalamika kuwa wa Bostwana hao wametumia mitishamba kuwafunga, wamedai haukuwa mchezo wa kawaida, wachezaji...
BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA.
Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally...
Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.